Madereva wa magari acheni dharau kwa wapanda pikipiki

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,445
Wananikera sana hawa madereva wa magari utakuta mtu upo na pikipiki na right side lakini jamaa/mwanamke amekuona kabisa unakuja yeye anakuchomekea ukimfuata na kumwambia vp mbona hivyo anakujibu kwani mm nilikutuma ununue pikipiki anafunga kio na kutambaa sio vizuri hivyo acheni dharau sio wote wanao panda au kutumia pikipiki hawana magari wanayo sana tu ila wanakwepa foleni.
 
Hata kwenye foleni mnaenda taratibu dereva wa gari anajua kabisa waendesha pikipiki wanapita katikati unakuta mama/baba mzima anazuia njia makusudi tu ukiuliza vp mama/baba anakujibu mm nimekaa sana barabarani wewe unawahi wapi?
 
Kwenye foleni mnasogea taratibu kuna madereva wenye tamaa anakuta labda foleni ya upande huu unaenda unakuta ana hama faster na kuhamia shoto au lia bila hata ya kujali kuwasha taa au kuangalia site mirror.
 
Hizo leseni zenu za kuletewa nyumbani kesho unaingia barabarani bila ya kujua sheria vizuri na control tutamalizana msishangae kesho mkaambiwa Fidel Mungu kampenda zaidi kwa ajili ya uzembe wa watu wachache road.
 
Hata kwenye foleni mnaenda taratibu dereva wa gari anajua kabisa waendesha pikipiki wanapita katikati unakuta mama/baba mzima anazuia njia makusudi tu ukiuliza vp mama/baba anakujibu mm nimekaa sana barabarani wewe unawahi wapi?

Hii ni sheria ya nchi gani? hapa kwetu tanzania au ndio zile tunazojiwekea wenyewe bila taratibu!??
 
Hii ni sheria ya nchi gani? hapa kwetu tanzania au ndio zile tunazojiwekea wenyewe bila taratibu!??

We unataka mwendesha pikipiki apite wapi wakati wa foleni nionyeshe sheria hiyo.
 
Wananikera sana hawa madereva wa magari utakuta mtu upo na pikipiki na right side lakini jamaa/mwanamke amekuona kabisa unakuja yeye anakuchomekea ukimfuata na kumwambia vp mbona hivyo anakujibu kwani mm nilikutuma ununue pikipiki anafunga kio na kutambaa sio vizuri hivyo acheni dharau sio wote wanao panda au kutumia pikipiki hawana magari wanayo sana tu ila wanakwepa foleni.

Mkuu unatembelea tukutuku? Pole naona utakuwa umekoswakoswa. Bongo tambarare. Sio pikipiki tu, ukiwa na kastarlet prado litakuchomekea, ukiwa na prado kaa mbali na DCM na DCM hana cha kusema mbele ya Mende la Mchanga hasa njia ya kwetu Bagamoyo road. Mkuu najua hata weye ukikutana na kabaiskeli unakakandamizia pembeni. Hii ndio Bongo Daslam. Mnyonge hana haki. Ukimuona mbabe mpishe nakushauri kabla hawaja kurestisha in Peace.
 
Mkuu unatembelea tukutuku? Pole naona utakuwa umekoswakoswa. Bongo tambarare.e.

Dah mkuu si unajua Bongo foleni kila kona sasa kwa pikipiki kwangu ni simple kuhit na kurun faster nimesha rejea ukiwa kwenye gari dah mzee msoto waulize wakazi wa Tegeta wanao toka K/koo au G.Mboto waulize wa Tabata balaa mkuu.
 
Kaka wa Tegeta ndio sisi. Wametutengenezea barabara ya chini tukaona afadhali. Kasheshe liko pale round about Kawe. Mi huwa sitakagi shida, nikiona foleni inanizengua naangalia kushoto na kulia, kama kuna bar jirani nasepa pembeni najikamulia zangu serengeti taratiiiibu mpaka foleni ieleweke. Kama ina wahudumu wazuri somo linaweza kubadilika....
 
Kama ina wahudumu wazuri somo linaweza kubadilika....

Hahahaha hapo chacha mkuu Kawe pale iwa napita pita kuna Bar moja kwenye viwanja vya Tanganyika P. iwa yanapaki malori pale iwa nakuja sana kukamua maeneo yale sasa fikiria natoka pale na pikipiki mpaka Kibamba kichwa kipo chicha.
 
Waendesha pikipiki nao mnakera sana, unakuta mtu amemaliza speed zote halafu hana helmet,ukitaka kuona vioja vya pikipiki nenda tanga,wanaudhi haoo!
 
Waendesha pikipiki nao mnakera sana, unakuta mtu amemaliza speed zote halafu hana helmet,ukitaka kuona vioja vya pikipiki nenda tanga,wanaudhi haoo!

Dah mkuu sijakuelewa wana kera kwa kufanya nini?
 
Hahahaha hapo chacha mkuu Kawe pale iwa napita pita kuna Bar moja kwenye viwanja vya Tanganyika P. iwa yanapaki malori pale iwa nakuja sana kukamua maeneo yale sasa fikiria natoka pale na pikipiki mpaka Kibamba kichwa kipo chicha.

Hapo mkuu utakuwa unaki beep kifo. Ukipita pale siku nyingine nistue nikufanzie na ka looser kamoja ka kitanga. Hiyo shughuli utakayopewa, utahamia kwetu nakuapia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom