lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
SI ungewauliza huko barabarani??? Jinga Kuba we
ni ukweli dhairi kwamba madereva wa kike ni makini sana pia ni nadra kusikia wamepata ajali,hila kwa nini madereva wanawake wakiwa kwenye foleni hawapendi kuchomekewa na magari mengine yaliyopo nyuma yao? yaani wanabana sana uwezi kuwachomekea na gari yako. kwa nini wako hivi?
Wewe siyo dereva ni muongoza gari tu
SI ungewauliza huko barabarani??? Jinga Kuba we
Ni ukweli dhairi kwamba madereva wa kike ni makini sana pia ni nadra kusikia wamepata ajali,ila kwanini madereva wanawake wakiwa kwenye foleni hawapendi kuchomekewa na magari mengine yaliyopo nyuma yao?
Yaani wanabana sana huwezi kuwachomekea na gari yako. Kwanini wako hivi?
wewe unapenda kuchomekewa na wa nyuma yako???!!!!!
Ni ukweli dhairi kwamba madereva wa kike ni makini sana pia ni nadra kusikia wamepata ajali,ila kwanini madereva wanawake wakiwa kwenye foleni hawapendi kuchomekewa na magari mengine yaliyopo nyuma yao?
Yaani wanabana sana huwezi kuwachomekea na gari yako. Kwanini wako hivi?
Kule nanii mtuchomekee na barabarani tena jamani............haki za wanawake zipo wapi nchi hii.........
Na pia kwanini Madereva wa kike Mnapenda kutumia Simu wakati Mnaendesha Magari...
Tafadhari Mjirekebishe ni Hatari sana.
Unahitaji likizo kijana