Madereva wa Kenya!!

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,351
Hivi Kenya kuna chuo cha usafirishaji? If yes.. Madereva wa matatuu na wa tuktuk za mombasa na Nairobi huwa wanasomea wapi? Naomba majibu ya haya maswali!
 
Tukijibu nini? Kwani ni wapi hakuna crazy drivers? How many people die annually due to road accidents in Tanzania btw? Na sasa hawa madereva walisomea uendeshaji wapi?
Hivi hizo fujo za mombasa na Nairobi mmezizoea au ni nini? Nafikiri kwa east africa mnaongoza kwa kwa barabara zenye madereva wendawazimu..
 
Hebu tuambie kwanza hawa wa kwenu wamepata wapi darasa la udereva, maana wana tabia za kuachia usukani kisa wamenogewa na bongo flavor

 
Back
Top Bottom