madereva wa daladala wagoma

madereva wa daladala wagoma

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
4,319
Reaction score
7,655
madereva wa daladala wamegoma kuondoa gari kituoni baada ya kupandishiwa tozo ya kutoa gari kutoka 500 mpaka 1000,
IMG_20170821_064648.jpg
IMG_20170821_064658.jpg
 
Pesa ya kukombaoa bombardier imeshaanza kusanywa kwa nguvu bila hata kushirikisha wadau
 
Kwa nini wanaigomea sh. 1000? Je kituo hakikarabatiwi? Je hawajapewa sababu za msingi za kupandisha hiyo tozo? Je hawakutaarifiwa mapema?
 
Kwa nini wanaigomea sh. 1000? Je kituo hakikarabatiwi? Je hawajapewa sababu za msingi za kupandisha hiyo tozo? Je hawakutaarifiwa mapema?
hakuna kilichobadilika hapo kituoni zaidi ya tozo
 
Maguful anapndisha ili afidiee deni la bombadier

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
 
Back
Top Bottom