Madereva tusimuliane vituko vya mabarabarani

xtaper

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
3,303
2,000
Wakuu habari zenu

Ni matumaini yangu mu wazima.

Leo nimekaa nikakumbuka baadhi ya vijistory vya kijiweni kuhusu vimbwanga vinavyotokea mabarabarani hususani safari za mikoani na nje ya nchi ambazo mara nyingi hufanyika mida ya usiku.

Vimbwanga ni vingi kama kukuta mawe yamepangwa barabarani, kusinzia gafla ushatoka nje ya barabara, kufatiliwa na gari flan isiyoeleweka kwa muda mrefu.

Madereva binafsi, wa IT, wa Transit, wa Matanker sogeeni hapa mtiririkeSent using Jamii Forums mobile app
 

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
1,588
2,000
AISEE. nilisinzia niliposhtuka nikakaa saiku tatu bila kupata usingizi. ILIKUWA NIFE. Pale msamvu morogoro palinikumbusha mambo mengi sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom