Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 694
- 1,682
Ipo piaMadereva wa daladala nao wakuda kinoma, hawaingii kushushia na kupakia abiria stand! Wanasimama barabarani na kusababisha foleni wakuda hawa! Hasa stand ya Mkwajuni kama unakwenda Magomeni kutokea Moroko na Buguruni chama kama unakwenda Ubungo tokea TAzara baada ya taa!! Wakuda sana, wanaboa kinoma halafu unakuta stand iko empty
Na kuna wale wanabadili lane kutoka kushoto kwenda kulia au kulia kwenda kushoto bila kuangalia gari ya nyuma inakuja na spidi gani jitu linahamia kwako afu lipo slow kuliko wewe tatizo sana ka una mawazo yako unaeza gonga...Madereva wengi sana Tz hawajui kuwa kama kuna njia mbili za kwenda upande mmoja basi kama wewe uko slow kaa kushoto wenzio wapite kulia. Na ndio kitachotokea kwenye njia 8 za Ubungo-Kibaha. Utashangaa malori yanabana kulia then wote mnachelewa.
Ipo pia
1. Stand ya Kimara Mwisho. Wamejengewa kabisa njia ya kuchepuka wakapakie abiria ila wao wanapakilia main road na kufanya foleni
2. Stand ya daladala Mwenge wamejengewa pia sehemu ya kuingia ila wao wanaenda kule juu kabisa na kuleta usumbufu
Na kuna wale wanabadili lane kutoka kushoto kwenda kulia au kulia kwenda kushoto bila kuangalia gari ya nyuma inakuja na spidi gani jitu linahamia kwako afu lipo slow kuliko wewe tatizo sana ka una mawazo yako unaeza gonga...
Yan mtu badala yakuangalia kioo anawasha indicator anahama
River side ndio kimeo zaidi ukiwa unaelekea UbungoMadereva wa daladala nao wakuda kinoma, hawaingii kushushia na kupakia abiria stand! Wanasimama barabarani na kusababisha foleni wakuda hawa! Hasa stand ya Mkwajuni kama unakwenda Magomeni kutokea Moroko na Buguruni chama kama unakwenda Ubungo tokea TAzara baada ya taa!! Wakuda sana, wanaboa kinoma halafu unakuta stand iko empty
Hakika mkuu, tunataka mwaka mpya tuanze vizuri bila kuwa wakudaDu maada za kufungia mwaka hizi,,, Mnoko na sasa Mkuda
Nasikia hivi vinakuwaga kwenye mashindanoKuna vile visubaru vinapiga kelele mjini.
saivi wanaweka horn za HARRIERKuna hawa wa bodaboda,
Huwa hawajui kusubiri.
Wanapenda kujichomeka katikati na kupita na side mirror zetu.
Hawa wako radhi chombo chake kitembee bila breki lakini honi iwepo.
Gari nyingi hasa Dar zina mikwaruzo ya kuchubuka rangi kisa ni hawa vijana.
Hawa mimi nilishawagroup ni vichaa, nahisi huo mtindo wakutoingia stendi walizojengewa wamefundishwa vyuoni kwao. Maana ni kama wote vile, unakuta kuna mafoleni yasio na kichwa wala mguuMadereva wa daladala nao wakuda kinoma, hawaingii kushushia na kupakia abiria stand! Wanasimama barabarani na kusababisha foleni wakuda hawa! Hasa stand ya Mkwajuni kama unakwenda Magomeni kutokea Moroko na Buguruni chama kama unakwenda Ubungo tokea TAzara baada ya taa!! Wakuda sana, wanaboa kinoma halafu unakuta stand iko empty
Haya malori huwa yanaogopa kukaa kushoto sababu ya mabasi, yakikaa kushoto ikifika sehemu ya mabasi itawalazimu kuhamia kulia, ndo maana yanaona bora yakae kulia tu. Changamoto inakuja pale yanaamua kukaa moja kulia lingine kushoto alafu yote yakaamua kwenda mwendo sawa.Madereva wengi sana Tz hawajui kuwa kama kuna njia mbili za kwenda upande mmoja basi kama wewe uko slow kaa kushoto wenzio wapite kulia. Na ndio kitachotokea kwenye njia 8 za Ubungo-Kibaha. Utashangaa malori yanabana kulia then wote mnachelewa.
Huu sasa ni uchizi, kuna raia zinaendesha magari kama vile bodabodaNa kuna wale wanabadili lane kutoka kushoto kwenda kulia au kulia kwenda kushoto bila kuangalia gari ya nyuma inakuja na spidi gani jitu linahamia kwako afu lipo slow kuliko wewe tatizo sana ka una mawazo yako unaeza gonga...
Yan mtu badala yakuangalia kioo anawasha indicator anahama
Hawa wajamaa huwa spendi urafiki nao barabarani, hata kwenye foleni saa nyingine naacha uwazi mkubwa ili waweze kupita. Maana kuna muda unaona kabisa mtu awezipita lakini jamaa anakomaa tu.Kuna hawa wa bodaboda,
Huwa hawajui kusubiri.
Wanapenda kujichomeka katikati na kupita na side mirror zetu.
Hawa wako radhi chombo chake kitembee bila breki lakini honi iwepo.
Gari nyingi hasa Dar zina mikwaruzo ya kuchubuka rangi kisa ni hawa vijana.
Daaah hawa pia Mungu awalindeDreva ana overtake kwenye kona au mwisho wa kilima na haoni mita 100 mbele, hajui upande wa pili kunaweza kuwa na mtu anakuja yupo 160kph. Huu nao ni ukuda
Mmesahau wale madereva wanaendesha gari huku pisi kali inawanyonya dyudyu...
Hawa nao wakinogewa huwa wwnaendesha kizembe..