Madereva 3 wa bodaboda wanahitajika

Kama hicho cheti kinathami si akitafutie kazi nyingine...cheti kinathamani kimekosa kazi?
 
Kama hicho cheti kinathami si akitafutie kazi nyingine...cheti kinathamani kimekosa kazi?

Mtu keshaambiwa itakuwa ndio dhamna yake. Ndio shida ya wasomi hawajui hata maana ya dhamana. Mimi cheti chake cha form four nikipeleke wapi. Watu tuna Masters na tunaweka dhamana mpaka majumba sembuse cheti
 
Mkuu kwangu swala la cheti nisingeweza kukupa ila nilikuwa na uwakika ilo deni ndani ya miezi sita au kabla lilikuwa limekwisha na kwa kuanza ningekupa laki sita.
 
Mkuu kwangu swala la cheti nisingeweza kukupa ila nilikuwa na uwakika ilo deni ndani ya miezi sita au kabla lilikuwa limekwisha na kwa kuanza ningekupa laki sita.

Kwa nini ushindwe kuweka cheti ilhali utamaliza deni lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…