Nyie ntawaingiza kwenye ubersawa sawa mkuu,wenye Diploma/degree wanakaa wapi
Utakuwa na matatizo ya akili wewe,, yaani mtu akuachie cheti chake teba bora ungesema copy, ila org!! Kwa ajili ya kimkweche chako!? Unajua thamani ya cheti kweli wewe, yaani amekipata baada ya kukisotea miaka kumi naa then akuletee ufanyie ubwisi kwa kujibodaboda!! Kapime tezi Dume!!
Mzee ni mkopo ama?I mean mkatabaHabari wakuu.
Ninapiki piki tatu, nahitaji vijana watatu waadilifu wa kuziendesha. Boxer per day 8000/=, haugue per day 7000/=
Dereve anapaswa awe mkazi wa Dar.
Dereve unapaswa ulete kila siku hesabu na ukirusha siku mbili mfululizo utanyang'anywa pikipiki.
Dereva utaacha cheti chako cha kidato cha nne/sita kama mdhamini wako upewapo pikipiki.
Maana yake kama huna cheti usijihangaishe kuomba.
Kama upo tayari njoo Pm.