Paul Mchumi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 1,040
- 1,273
Taasisi za ukopeshaji katika nchi ambazo watu hawana spirit ya kulipa madeni huwa zinapata tabu sana,ndio maana nchi zetu tutachelewa sana kuwa linked na huduma kama za Credit card n.k,na hakuna most of us tunakopa na hatutaki kulipa,mifumo kama TALA ni rahisi kupata faida nchi zilizoendelea ambako uchumi ni mkubwa na watu wanajua umuhimu wa kulipa madeni,unapoingia katika biashara ya kukopesha ina maana umekubali ku accept risk zozote zinazoweza kutokea,inabidi ujipange hasa kwenye hizi unsecured Loan ni pasua kichwa sana,i used to be a Credit Officer somewhere na mikopo ina dhamana lakini kupata marejesho sometimes ni kazi,una kuta mtu is able but unwilling to pay his/her obligations....so TALA au BRANCH wajifikirie upya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siwatetei hapa,na mimi nimekopa huko na bado sijalipa..Kiongozi hao jamaa wanapata faida kubwa kupitia riba.acha kuwatetea
Sent using Jamii Forums mobile app
Nivushe si huwa wanakata kwenye account yako ya tigo pesa usipolipa au?Unashangaa hyo?nivushe wananidai laki 4.na bado laini yangu IPO hewani.
Serikali yenyewe inadaiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakiona hauweki hela wanakausha.Nivushe si huwa wanakata kwenye account yako ya tigo pesa usipolipa au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza.ukishakopa tala huwezi tena kukopa branch. huyo jamaa katumia mbinu gani
Na simu pia itabidi utupe au ubadili, wakati wa kujisajili wanalog IMEI yako na utatumia kitambulisho cha taifa au mpiga kura.nina line kibao hazitumiki
Hao nivushe ni watanzania au?Unashangaa hyo?nivushe wananidai laki 4.na bado laini yangu IPO hewani.
Serikali yenyewe inadaiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli!Branch wako poa sana,na inatusaidia sana wa mkoani hukuu,binafsi nikikwama bati mbili,nachukua 80 yangu chapu..nikikwama petrol nachukua 40chap,nikikwama na kila nikikwama nakopa....ila mi ni mlipaji mzuri mnooo!Ukiwa umalipa utaenjoy ndugu kuliko riba ya hivi vimicrofinamce inayokaribia asilimia 75 ya mkopo uliochukua....
Sent using nokia ya tochi
Inashangaza sana mkuu!Yani bongo bwana daaaah. Ndo maana hatuendelei. We kampuni kama hii imejitolea kutoa mikopo nafuu kwa ajili ya kuwakwamu wananchi kiuchumi tena kwa ribs ndogo sana. Lakin bado watu hawalipi jamni....maisha hayawezi badilika kwa mtindo huu asee.....!!
Sent using Jamii Forums mobile app
utakapokaa jela miaka 30 nawe utakuwa umepoteza resource nyingi sanaUnajua had kunikamata watakua washapoteza resources nying zaid ya hio wananidai
Sent using Jamii Forums mobile app