Madenge baada ya kufaulu mtihani wa Form Four akaambiwa achague zawadi yoyote aipendayo,
Madenge: nataka posa nikamuoe bibi maana ni siku nyingi amekuwa akiniita mchumba wake,
Baba Madenge: Shenzi wewe yule ni mama yangu mzazi huwez kumuoa,
Madenge: Mbona wewe umemuoa mama yangu mzazi sijasema kitu!