Mademu wanaonizidi umri wana true love

Mademu wanaonizidi umri wana true love

Indianapolis

Member
Joined
Nov 25, 2018
Posts
77
Reaction score
44
Nimechoka kugombania videmu vidogo kisa vizuri shee mi nina demu mkali hadi najiogopa ila sasa tukiwa wote mda kwingi mameseji mara kipigiwa sjiu wasap hadi vaibu linakata hata km nimepanga kumkaza stimu zinakata kabisa, juzi kati nimkabidhi kwa rafiki ake anilindie ananiambia yuko na mimi tu ila mi dizaini km siamini ila nikigeukia kuna mademu km watatu hivi wakubwa wananizidi miaka kadhaa wananikubali ile noma wakitaka kwenda beach lazima wanipitie niwapeleke afu wananiangalia kwa kurembua hatari nasubiria moja akinpa tu dizaini nakapiga chini kile kidemu changu nishachoka mimi
 
Acha kujichanganya we wale mademu we hata huwezi kuongea nao wanakuja mabroo kutongoza wanatoswa watoto wanakula kitabu acha ushamba kwanza
 
Nimechoka kugombania videmu vidogo kisa vizuri shee mi nina demu mkali hadi najiogopa ila sasa tukiwa wote mda kwingi mameseji mara kipigiwa sjiu wasap hadi vaibu linakata hata km nimepanga kumkaza stimu zinakata kabisa, juzi kati nimkabidhi kwa rafiki ake anilindie ananiambia yuko na mimi tu ila mi dizaini km siamini ila nikigeukia kuna mademu km watatu hivi wakubwa wananizidi miaka kadhaa wananikubali ile noma wakitaka kwenda beach lazima wanipitie niwapeleke afu wananiangalia kwa kurembua hatari nasubiria moja akinpa tu dizaini nakapiga chini kile kidemu changu nishachoka mimi
Mmoja akikupa mwengine nipe mimi mkuu!
 
hii ni laana sasa mana unataka uanze tabia ya kuwachungulia bibi zako
 
Back
Top Bottom