QEEN ADEMU1
Senior Member
- Dec 24, 2019
- 134
- 324
#copied
MADEMU WA MJINI wanaishi kwa MBINU
sana.
Wanaishi kwa ile methali ya wahenga wa
zamani isemayo, "Mkono mtupu haulambwi."
We ukikazana na "I Love You", "I Love You" zako nyingiiiii, mwenzio walaaa hazimshtui.
,
Wiki ya 1 ukimtext:
"Baby Goodmorning."
,
Anajibu "MRNG."
,
Ukitext "Babe umekula?"
,
Anajibu "Yeah."
,
Ukimtext "Baby Goodnite"
,
Anajibu "Nyts"...au "K."
,
Wiki ya 2, we mtumie M-PESA Laki 2 ya ghafla tu, kumsapraiz.
,
Halafu mtext....."Baby umekula?"
,
Utasikia "Yes Hubby wangu, nimekula nimeshiba, nakuwaza tu hapa, can't wait to see you baadae, kisses hubby akee."
,
Ukimtumia text ya "Goodnite", utasikia...
,
"Baby why unalala mapema hivi, subiri tulale wote jamaniii, au hunimiss."
,
Ukimchunia bila kumtext, lazima aanze...
,
"Hunnie, Boo, mbona kimya jamani, I miss you, ukiwa kimya sana unanipa mawazo jamani. I love you, ur the best thing ever to happen in my life."
,
Hiyo inaitwa, "Miujiza ya Laki 2." Anakuwa na maneno matamu kama yoteeeeeeeeeeeeeeeeee!
,
Mademu wa mjini mshenga wao ni HELA.
,
Laki 2 ina uwezo wa kubadili "Nyts" kuwa "Goodnite my Hubby, Kisses xoxoxoxoxo" Hata sijuagi maanake nini hayo maneno yao.
,
Sasa, wewe endelea na I LOVE YOU zako kama unaekti muvi ya Kizungu, utalubhona lubhono!
Unakuja Pm kusumbua hela huna shauri yako
Sent using i phone x