Mademu Wa SIMBA Haooooo

Mbuzi Mzee tuheshimiane, nani kakupa ruhusa ya kuweka picha za mademu zangu? Nakutafuta na tochi hata mchana na panga langu jipyaaa!!! Sali sala yako mwisho.
 
Eti kwasababu huyo wa kwanza amevaa mchinjo wa rangi nyekundu!! Hawanalolote wote hao wamejaa ------ ya kichina tu.
 
Kitu mnatooooooooo
 
Umeifanya cku ianze vyema mkuu
 
Nilitegemea kuwaona wachezaji wa Netball...
 
Simba wan demu wao moja tu anayeitwa Rahma al Kharusi anayeishi OMAN
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…