Mademu hawanikubali?

Mademu hawanikubali?

Wape hela labda
20260304_080345.jpg
 
Sijui na tatizo lpi kila nnayemtongoza ananikataa.saiv n mara ya saba bila matokeo,nifanyaje wakuu
Tumia dawa hii,saga tangawizi na vitunguu thumu,na vikilainika jipake kwenye tundu la haja kubwa na shida itaisha
 
Pole mkuu,sikuhizi wanasema hivi nanukuu

"Eeeh! Eeeh! Hey man TIA HELA,TIA HELA
USIPELEKE MAUA "

COURSED GENERATION 🤮
 
No lady is hard to get you dont have money.

Tafuta hela alafu rudi utupe feedback.
 
Hapo ramli inaonyesha huna pesa mkuu.
Hivyo tafuta pesa
 
Back
Top Bottom