Madee aache muziki. Jamaa hajawahi toa ngoma hata moja ikahit, zote ni kama amehack tu, kama hii tekno tu ndo anasikika huyo mwingine sijui style yake alitoa wapi.
Harafu utasikia eti naye yumo Tanzania All Stars!
Sijui nani alianzisha hili genge!
Tanzania Star asiwe Bitchuka awe Madee/Dogo janja/and the like... kweli?!
Msanii Madee A.k.a Rais wa Manzese kafyatua ngoma na msanii Tekno wa Nigeria,mzigo umefanyikia wasafi record kusikiliza ngoma iko hapo chini
-Ndumilakuwili-
Huu ndio ushirikiano tunaoutaka wa kimuziki.Madee kwenda kufanyia ngoma wasafi ni bonge moja la sapoti kwa msanii mwenzie.
Sio kukalia wivu na masengenyo na kwenye game unazidi kudorora
Jamani jamani tafadhali sana, hii beat tekno ametengeneza katika studio yake, na dio boya laizer kaitengeneza. Tekno aliitengeza biti akaweka na voko zake ndio akaileta wasafi ikafanyiwa mixing na madee kuweka vocal zake. Kama ni laizer ningekunya dar mpaka singida barabara nzima
Madee aache muziki. Jamaa hajawahi toa ngoma hata moja ikahit, zote ni kama amehack tu, kama hii tekno tu ndo anasikika huyo mwingine sijui style yake alitoa wapi.