MADE IN IRAN

Iran hawajaanza kutengeneza magari leo wala jana toka kipindi kirefu tu na mengi yanauzwa mpaka africa hususan south africa
Acha mbwembwe Taja iyo kampun ya Iran inayo tengeneza magari.
 
Nyumbu kipo tu mbona ila wanatengenza spea tu nafikiri make huwa wananichongea spea nying na nzuri tu kwa ajili ya kiwanda changu!

Lakini sasa na wewe jamani unatumalizia hewa humu
View attachment 923060View attachment 923060
Safi sana inabidi kipewe bajeti zaidi ili wafunge zaidi ya hayo.

Mi Wa mwisho kupumua kwahiyo kwanza nawaachia ninyi mvute hewa halafu mi ndio namalizia,kwahiyo usijali sana sintomaliza hewa ya humu jf
Nalog off
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…