MADE IN IRAN

Kumbe ni Lamboghin mi nikajua ni magari special ya kampuni kutoka iran.Na sisi tutatengeza sim,laptop n.k

Lakin ni vema kutengeneza vya kwao/vyetu kama makampuni ya KIA,AUDI,n.k.
Hapo wamefanya kama rwanda walivyofanya kutengeneza magari lakin kwa ushiriki na makampuni ya nje. Wanaita joint venture.
 
 
Mkuu tunaita joint venture.Yaani mzungu,mwarabu,m,asia anakuja bongo anajenge kiwanda mfano cha kutengeneza magari then yale magari si yataitwa "made inTanzania"?
 
Kiwanda chetu cha kutengeneza magari ya nyumbu,kiko ktk Hali Gani kwa Sasa?
Nalog off
 
Mkuu Lamborghini sio kumbe, ni miongoni mwa magari matata
 
Iran hawajaanza kutengeneza magari leo wala jana toka kipindi kirefu tu na mengi yanauzwa mpaka africa hususan south africa
 
Automotive industry in Iran

The IKCO Samand is an Iranian-made car and titled first "national car" of Iran.

First bus imported to Iran (Qajar era)

Peykan is former main Iran-made car in 1967–2005.

Iran Khodro is the largest car manufacturer in the Middle-East. ...

IKCO EF Engines are four-cylinder engines. ...

Saipa Diesel New Budsun NB8 (right) vs.
 
The IKCO Samand is an Iranian-made car and titled first "national car" of Iran.
Iran’s automotive industry is the third most active industry of the country , after its oil and gas industry, accounting for 10% of Iran's GDP and 4% of the workforce (700,000 person). [1][2]
[3][4]
Iran developed a significant automotive industry with annual production of up to 200,000 units under the Mohammad Reza Shah Pahlavi 's regime. But after the Iranian Revolution of 1979 production drastically decreased due to Iran–Iraq War and international sanctions. Since the early 2000s, automobile production in Iran has grown exponentially. Iran's automobile production crossed the 1 million mark in 2007/2008. Today, Iran is the 18th largest automaker in the world and one of the largest in Asia, with annual production of more than 1.6 million. [5]

Nchi ya 18 duniani
 
Iran ana nyuklia power plant, ana visima vya mafuta ambavyo anatoa BARREL MILLIONI 2.6 ya CRUDE OIL kwa siku moja.

sisi tunanini cha kujifananisha nao? Anae tufananisha Tanzania na Iran anatakiwa akapimwe haja kubwa.
 
Hayo Magari yote ni kampuni za Ulaya zimewekeza na zingine zilisepa zikaacha kila kitu baada ya vikwazo... Iran anaendeleza kwa mutumia misaada kutoka original source ya kampuni Tanzu... Hta Mengi anataka kufungua kiwanda cha kutengeneza Simu Tanzania
 
Kiwanda chetu cha kutengeneza magari ya nyumbu,kiko ktk Hali Gani kwa Sasa?
Nalog off

Nyumbu kipo tu mbona ila wanatengenza spea tu nafikiri make huwa wananichongea spea nying na nzuri tu kwa ajili ya kiwanda changu!

Lakini sasa na wewe jamani unatumalizia hewa humu
 
Hivi majuzi tu Russia walikuwa wanaagiza Gase Turbine toka iran kupeleka crimea,undefinednchi ikishafika kutengenezea injini za ndege,au mitambo mikubwa mikubwa hilo ni taifa liliondelea,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…