Made from china by Chinese

yuleMskinny

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2017
Posts
242
Reaction score
136
Niaje wadau na kama kawaida nipo poa kukuletea mastory yale yanahappen katika maisha yangu. Well story hii ina ukakasi kidogo ivo kama wewe ni mpenzi wa kilimo pata ushauri wa daktari kwanza kabla ya kusoma. Kabla ya kupoteza mda, twenzetu.
Jana jumatatu kama kawaida niliingia ofisini mapema asubuhi kuangalia kama kuna maelekezo kuwaachia vijana wangu alafu natoka. (Hii ndo desturi yangu ya kila jumatatu huwa sishindi ofisini kabisa) Basi nikaona ni vema nikaenda ni WIFE gym kwao. Kule ambako last time nilishuhudia kimbao mbao kikipata taabu na mchuma wenye uzito mara tatu yake. Basi mi na WIFE hao mdogo mdogo mpaka GYM kwao. Kwa kua nje kuna swimming pool mi nikajianika zangu majini taratibu huku nanyonya Juice kwa mrija kinyamwezi zaidi.
Kwa kua maji ya swimming pool siyaamini sana nilipomaliza ikabidi niende kwenye bathroom za io GYM ili nijisuuze kiasi flani. Kufika Mabafu yalikua mawili na hayana milango bali mapazia. Kila bafu lilikua na mchina ndani na walikua wanaongea ni kama wanaugomvi. Mmoja akiongea ni kama ana tonge la moto la ugali mdomoni na mwingine ni kama anatekenywa na mshale makwapani (alikua anaongea kama analia na kucheka) Basi mi nikakaa pale nawaskiza nasubiri mmoja atoke kwa hasira akachapane masumbwi na mwingine kumbe ni story tu walikua wanapiga wala si ugomvi.
Basi bana kwa kua mi nilikua nimekaa kimya nawangoja nadhani hawakujua kama nipo, Majamaa yakatoka bafuni wala hayajavaa taulo. Yaani nilichokiona mwili mzima ulisisimka, Nikawaza like "WTF is this that am seing" haraka haraka wakajifunga taulo na mi kicha kikanituma huu ndo muda wako wa kuvimba sasa. fasta nikawai bafuni mbio mbio, Kichwa kikanituma watasepa hawa so nikaacha na pazia wazi. Nikafungulia maji hata sijapaka Sabuni alafu na mi nikatoka bila kuvaa taulo nikasimama ka CAPTAIN AMERICA ALIVOTOKA KWENYE ILE SUPER SOLDIER MACHINE MAKING

Believe it or not, i felt like a god among insects, hehe nikawa najidai najifuta usoni huku nawachungulia, majamaa yananishangaa na macho na midomo pia. Yaani at that moment nikajiskia kama am the god of Chinese and all needs to kneel before me. basi nikaweka taulo chini nikaanza kuzunguka zunguka pale bafuni, majamaa walikua hata hawajajifuta jasho wakakusanya vibukta vyao wakavaa wakatoka vifua wazi na mataulo mkonnoni hao wakasepa. Naskia walienda kuvalia kwenye Gari yao HAhahhahah

MORAL OF THE STORY
KATIKA SIKU AMBAYO NIMEMVIMBIA MTU NIKAVIMBA KWELI NI JANA ASEE
 
Itakuwa walikuwa na Vibamia...
Na wewe ukawaonesha KIBAMIA rangi ya Mkaa..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] am a proud black man
 
Dume zima unakunywa juisi na mrija!! Hivi nyie wanaume wa Dar mtabadilika lini!?
Mi kunywa juice na mrija we imekuwasha sehem gani? Maana naona kama una ukurutu mgongoni boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…