P Funk alikua anatumia na ameacha, kuna wengine wengi tu. Yule jamaa aliyeenda Big Brother Africa, nadhani anaitwa Nando, alikua anatumia naye yupo sawa.kama hujui vzr, mvuta unga hata umsaidie vp , hawez akaacha kuvuta ndugu yangu, na kama unakumbuka vzr rais wa awamu iliyopita alifanya juhud za makusud kumsaidia yule dada mwanamuziz ray . lakin umeona kilichotokea?
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa, hao watu wanajiingiza kwenye hiyo mitandao kwa kutaka utajiri Wa haraka huku wakiwa watumiaji wakuu Wa madawa hayo, wanapoathirika kwa ulevi Wa kupindukia serikali inalaumiwa, Wa kulaumiwa ni yy mtumiaji maana hakulazimishwa na MTU ila alianza kutumia kwa utashi wake ,hivyo apambane yy mwenyewe kujiokoa kuliko kuingizia garama serikali tenaKwa kuwa serikali imekuwa ikitangazia umma kuwa inapambana na madawa ya kulevya kwa juhudi zote, sasa ionyeshe umma kuwa haijashindwa chochote kwenye hili suala!
Kwanza kuna huyu anayeitwa Chid Benz sijui ni kwa nini hadi hivi sasa serikali imekaa kimya kuhusu hili suala lake, imeshathibitika kwamba huyu mtu ni drug abuser, ameshaathirika sana na madawa ya kulevya, hivi ni kwa nini serikali haitaki kumsaidia kama ina nia ya dhati kabisa ya kupambana na madawa ya kulevya..
Anaachwa tu aendelee kutumia aangamie..?
Ni vijana wangapi kama huyu Chid wapo katika hali aliyonayo huyu Chid benz..?
Binafsi huwa nakutana na vijana wengi mno ambao wapo kwenye hali mbaya sana ambao wameshakuwa addicted!
Sasa kama haijulikani hao wauzaji wanapatikana wapi mbona njia ya kuwapata ni rahisi sana..
Hawa vijana ambao ni addicted wakamatwe au wapelekewe wapelelezi wanaweza kujifanya wao ni watumiaji wakadeal na hawa addicted mwisho wa siku ikajulikana wanakoyapata na hatimaye huo mtandao kunaswa!
Au ni kwamba wapo vigogo wa serikali waliopo kwenye huu mtandao wa kuuza madawa ya kulevya??
Huyu chid ataangamia tukiwa tunamuona na wala haitasaidia chochote kama hatu stahiki zisipochukuliwa mapema, achukuliwe asaidie huko anakoyapata ili tuokoe vijana wengine!!
Wakichukuliwa vijana kadhaa ambao ni addicted wakataja huo mtandandao itasaidia sana kuokoa kizazi hiki, kuwapeleka sorber haitasaidia sana, kikubwa tudeal na ile source wapi wanayapata!
Nawasilisha...
Yani madawa unywe chumbani kwako na mmeo alafu uje kusumbua serikali ikusaidia ??Kwa kuwa serikali imekuwa ikitangazia umma kuwa inapambana na madawa ya kulevya kwa juhudi zote, sasa ionyeshe umma kuwa haijashindwa chochote kwenye hili suala!
Kwanza kuna huyu anayeitwa Chid Benz sijui ni kwa nini hadi hivi sasa serikali imekaa kimya kuhusu hili suala lake, imeshathibitika kwamba huyu mtu ni drug abuser, ameshaathirika sana na madawa ya kulevya, hivi ni kwa nini serikali haitaki kumsaidia kama ina nia ya dhati kabisa ya kupambana na madawa ya kulevya..
Anaachwa tu aendelee kutumia aangamie..?
Ni vijana wangapi kama huyu Chid wapo katika hali aliyonayo huyu Chid benz..?
Binafsi huwa nakutana na vijana wengi mno ambao wapo kwenye hali mbaya sana ambao wameshakuwa addicted!
Sasa kama haijulikani hao wauzaji wanapatikana wapi mbona njia ya kuwapata ni rahisi sana..
Hawa vijana ambao ni addicted wakamatwe au wapelekewe wapelelezi wanaweza kujifanya wao ni watumiaji wakadeal na hawa addicted mwisho wa siku ikajulikana wanakoyapata na hatimaye huo mtandao kunaswa!
Au ni kwamba wapo vigogo wa serikali waliopo kwenye huu mtandao wa kuuza madawa ya kulevya??
Huyu chid ataangamia tukiwa tunamuona na wala haitasaidia chochote kama hatu stahiki zisipochukuliwa mapema, achukuliwe asaidie huko anakoyapata ili tuokoe vijana wengine!!
Wakichukuliwa vijana kadhaa ambao ni addicted wakataja huo mtandandao itasaidia sana kuokoa kizazi hiki, kuwapeleka sorber haitasaidia sana, kikubwa tudeal na ile source wapi wanayapata!
Nawasilisha...
Kwa hiyo mkuu suala LA waathirika wa madawa ya kulevya(mateja) kwako siyo kero??freyzem! hoja yako haina mashiko ndugu yangu, hv kwa mtazamo wako vijana walioathirika na madawa nchi hii wako wangapi? napinga kauli yako kwa 100%, we unaacha kuishaur serikal itatue kero na changamoto mbali mbali muhim zinazowakabili wananchi wake, eti unashaur iwaangalie wa akina chid, kwan chid yeye nan? umejishusha sana ndugu yangu, hv ww mvuta unga unamjua vzr? mvuta unga si bwege tu, kwan kuna mtu alimtuma akavute? ww mbona huvut si kwa sababu unayajua madhara yake? kwa iyo mi naishaur serikali isihangaike kabisa na hao wajinga sababu ni maisha waliojichagulia ayo, kama ni nguvu kazi wapo vijana kibao tu mtaan ambao hawajaathirika na ayo madawa