Madawa ya kulevya kwaheri, kifuatacho ni nini?

Kinambeu

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
906
454
Habari za madawa ya kulevya sasa zimeisha nini kifuatacho???

Maana watanzania Kwa agenda hatupo nyuma nini kitafuata sasa? Kick hii sasa imeishia tusubiri new episode...........
 
Habari za madawa ya kulevya sasa zimeisha nini kifuatacho???

Maana watanzania Kwa agenda hatupo nyuma nini kitafuata sasa? Kick hii sasa imeishia tusubiri new episode...........
Huo moto unaoanza kushika kasi huko mikoani wa ma- RPCs na RCs kuhusu DRUGS hata moshi wake mkuu hujaunusa nini?

Na niaje kuhusu kauli ya Kamishina mkuu mwenye dhamana aloteuliwa na Rais aloitoa jana kuwa wanaandaa orodha ya majaji walojihusisha na upendeleo kwa DRUG DEALERS na kisha waipeleke kwa Jaji Mkuu

Bila kusahau orodha ya majina 97 alokabidhiwa Kamishina jana na RC wa Dar ..... wadhani majina hayo atayaweka mezani bila UFUATILIAJI kwa hao wanaotuhumiwa?

Niaje kauli ya Makonda kuwa kabakiza AWAMU 4 kati ya 7 alizokuwa amepanga kutaja majina? Kataja awamu 2 na jana kakabidhi bila kutaja .... kabakiza awamu 4 za kukabidhi majina.

Hivi kwa ile hotuba ya JPM siku Kamishina anaapishwa alipotoa maagizo kwa Waziri Mkuu na kwa Ksmishina mwenye dhamana na kwa kasi ya hao ma RCs na RPCs utasema habari hii ndo imeisha? Sidhani.
 
Hivi wale wauza shisha walienda ofisini kwa mkuu wa mkoa kumhonga mil 5 kila mmoja walikuwepo kwenye list?
 
Ila madereva nimemkubali katika hili watu tulilia sana kilasiku njaa..njaaa matokeo yake katuletea unga kilamtu kashiba hakuna tena njaa sasa sijajua tulivuna lini mpaka kulifukuza zile baa la njaa
 
Si tuliambiwa hii tamthilia ni hadi episode ya saba?

Tushaangalia tatu, bado nne mkuu.
 
Back
Top Bottom