Madawa ya Kulevya: Alivyotoroshwa Nurdin Akasha

dah hii thread imenifurahisha sana,lakini nadhani hawa wa kina akasha hawakujua wadeal na watu wa aina gani,walifanya nao biashara na wakaanza kuwatishia...kweny kitabu cha 48 Rule of power,rule no 16 inasema,Knows who you dealing with...RIP Akasha family,lakini kinachonishangaza,Mafia huwa hawaui member wa familia ambae hashiriki kwenye biashara ya familia,au mwanamke,iweje watoto na mke na ndugu wauawe? eqylpz,any idea?
 

Hawa jamaa watakuwa walitengeneza maadui wengi, kwa hiyo jamaa wanalipa kisasi tu.
 

Thanks mkuu kwa ufafanuzi.

Niliwahi sikia kuwa milango ya matanki waliyokuwa wanafichia madawa ilikuwa kwa juu.
 

Mkuu, kati ya Ibrahim Akasha na Nurdin Akasha nani hasa aliyekamatwa Tanzania? Ikiwa ni Nurdin ndiye akiyekamatwa, kuna uhusiano gani kati ya Nurdin na Ibrahim? Kwasasa kuna member yoyote wa familia ya Ibrahim Akasha anayeishi Tanzania?
 

Ina maana Sarah Simbaulanga naye alikuwa anafanya biashara ya unga? Kwasasa yuko wapi?
 
Mkuu, kati ya Ibrahim Akasha na Nurdin Akasha nani hasa aliyekamatwa Tanzania? Ikiwa ni Nurdin ndiye akiyekamatwa, kuna uhusiano gani kati ya Nurdin na Ibrahim? Kwasasa kuna member yoyote wa familia ya Ibrahim Akasha anayeishi Tanzania?

Aliyekamatwa Tanzania ni Nurdin Akasha ambaye ni mtoto wa Ibrahim Akasha kutoka kwa mke wake wa kwanza anayeitwa Karama. Kwa kweli sijui kama kuna Akasha yoyote anayeishi Tanzania, labda wawe wanakuja kufuatilia biashara zao maana madawa yao mengi wanayasafirisha kwa magari kwenda kusini mwa afrika (kutoka Mombasa wanayapitishia Tanga na kuendelea kusini).
 

Point of correction: Kitabu: the 48 Laws of Power na kanuni (rule) = 19 sio 16 (16 ina sema use absence to increase Respect and honour)
 
Ina maana Sarah Simbaulanga naye alikuwa anafanya biashara ya unga? Kwasasa yuko wapi?

Hapana simbaulanga alikua mtumishi wa Benki kuu aliyelaghaiwa na mpenziwe kuiba fedha za benki kuu, baadae akakimbilia uingereza yeye pamoja na watoto wake, kosa lake kubwa lilikua kukosa viza ambapo akikamatwa uwanja wa ndege, mpenziwe alikamatwa kenya laikotorokea na kutumia fedha za wizi kununulia magari ya biashara
 

Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi.
 

Thanks for clarification.

Tupo pamoja.
 
siyo kwamba alikuwa mtumishi wa NBC kitengo cha pesa za kigeni?

cc: Mnyamahodzo
 
Last edited by a moderator:
.. mossad 11mtandao huo hauishi, akitoka huyu anaingiaaaa mwingine
 
Last edited by a moderator:
.. mossad 11mtandao huo hauishi, akitoka huyu anaingiaaaa mwingine

Huo mtandao hautaweza kwisha uko zaidi y karne madon n magodfather ndio wanaendesha,kma umeangalia movie za godfather utaona jinsi mtandao ulivyo,ukidhulumu wewe n kizazi chako mnapotezwa kabisa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…