Madanga ya China yampagawisha Faiza Ally atamani abadili uraia kabisa.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,422
21,115
Aliyewahi kuwa mpenzi wa Mh Joseph Mbilinyi (Sugu) Faiza Ally apagawa na madanga anayoyapata akienda China mara kwa mara.

Faiza amefunguka kuwa anapata madanga hatari ambayo hata akiwatajia dau kubwa kiasi gani wanatoa ili mradi waonje penzi lake maridhawa.

Faiza anashangaa licha ya umri kumtupa mkono lakini wimbi la wakware wanaomendea penzi lake linaongezeka kila kukicha mpaka anahisi ana bahati ya hali ya juu kuliko mwanamke yeyote yule.

Kwa miaka mingi kulikuwa na maneno ya chinichini kwamba Faiza hakauki na safari za China mara kwa mara kwa sababu huwa anaenda China kuuza mwili wake lakini Faiza alikuwa anapinga vikali lakini hatimaye ameamua kuwa mkweli kwamba nikuwa huwa anadanga Uchinani kwa sababu analipwa pesa nzuri tofauti na madanga ya kibongo.
IMG_20190417_184456_866.jpeg
 
China sina imani nayo bora ingekuwa nchi nyingine lakini china kwa vitu feki hata wakimpa mimba lazima itoke kwasababu cha mchina hakidumu

Sent using unknown device
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom