Je wa jua Kuwa wenye The highest Qualification in Port and Shipping ya Yaani CHARTERD SHIPBROKER wapo 4000 na East Africa 180 na Kenya ni 178 na Tanzania 2 tu Leo hapa Channelten kupitia MADA MOTO na Julius Nguhulla mmoja Kati ya Watanzania wawili akielezea nini kifanyike katika kuinua uchumi wa Taifa kupitia Bandari zetu
Mtaalamu Maritime Consultant Julius Nguhulla anatoa somo kwa undani sababu ya meli na mizigo kupungua ktk bandari ya Dar-es-Salaam kutokana na myumbo wa uchumi duniani na Tanzania inaweza vipi kukabiliana na changamoto hiyo ili kuendelea kupata mapato makubwa pamoja na changamoto zilizotajwa hapo chini :
Knowledge ya shipping ndogo sana Tanzania kiasi ya kushindwa kuhudumia meli na mizigo
Kodi, Mwenye Meli kulalamika kukosekana ujuzi wa wafanyakazi bandarini Dsm, Umangi Meza wa TRA
Myumbo / Mdororo wa uchumi duniani
Bandari shindani za Mombasa, Durban South Africa n.k
Meli zaidi ya 700 duniani zime ''paki'' bila mizigo
Meli zingine zimevunjwa vunjwa na kuwa scrapper kutokana na kupungua kwa mizigo
Tanzania tumejitakiwa wenyewe mizigo na meli kupungua