Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,638
Nikwambie kuna watu
Wanaonekana ni watu kabisa
Yaani wanafanya kazi kawa kawaida na wanamarafiki kama kawaida ila ni mawakala wa shetani..
Leo nipo ki imani hawa watu mara nyingi huwaingia wale watu wenye karama kubwa za ki Mungu ili wawa angushe
Inawezekana hujijui kua wewe unakarama gani ya ki Mungu
Labda bado wakati wako haujafika kuiweka wazi karama hiyo lakini shetani ni roho chafu inaona ndani ya mtu anachokiwaza sasa inapokuona wewe ni mhimili mzuri wa Mungu atengeneza njia ya kukuingia ili kukuangusha na kukufanya umkoseee Mungu
Kua makini hapa nataka nikuwekee kitu kichwani mwako ulewe..
Shetani anayatumia sana mapenzi kuwaharibu watu wa Mungu
Kuna ma mtu ni machawi ya kimapenzi na yana mateso kwenye mapenzi mpaka unajuta kukutana nalo..
Yaani unaingia kwenye mapenzi na jitu afu baada ya muda ndio unaona u shetani wake ulipo
Tiari unalipenda nasiyo kwa moyo wako but kwa uchawi wake limekuwahi limekuloga hadi hujielewi una lialia ovyo
Yaani linafanya ujinga wazi wazi afu bado unadai #yaani nampenda sana mpaka akikosea namwomba msamaha mimi#
Nikwambie ukiona hali hii
Jua wewe ni hazina ya Mungu umetekwa ki chawi na shetani
Utajuta, moyo utakua kama unawaka moto mwili wa moto dawa ina tembea kwa kasi mpaka inachemka kila kitu ukifanya hakiendi yaani unatupiwa laana fulani hivi kazi haziendi unakua kama una mkosi unaona kama watu hawakukubali wanakudharau wote...
Kila kitu ukigusa hakiendi
Yaani unatamani kujiua kabisa unywe hata sumu au unatamani kuwaua wale wanao furahia maisha nalo..
Ndio uelewe kua huyo ni wakala wa shetani kabisa kabisa
Hivyo hivyo unavyomfahamu ndivyo alivyo ni wakala wa shetani.
Na wewe kukufanya hivyo una kitu kikubwa Mungu amekiweka ndani yako anataka akupokonye uteseke duniani hata pepo uikose..
Unaweza hata ukaanza kuloga na wewe lakini utashangaa dawa hazishiki wala hufanikiwi na unapoteza pesa zako tu
Maana una mloga shetani kwa shetani mwenzake..
Hili lijue sasa
Ndio maana sio vyema kukurupuka tu kuingia kwenye mapenzi unaona mtu mfanyakazi unaona oo hapo ndio safi nyooo jichomeke utajuta
Unaona unapewa zawadi zawadi unasema hapo ndio safi my dia utajuta..
Anza na Mungu dada wangu