Madame B is Back...! Niliwamisijeee eee...!?

Ubora na utamu wa maziwa hua ni cream!
Hao unaowanadi wako kamili ?
Pande za huko ulipowachukua hakuna traditional ya kutoana cream?
Nihabarishe kwanza , kama vipi nahitaji nim'bukie mdogo wangu mmojawao.
Rply fasta zabuni hiyo!
 
Heheheheh unalo babu, chezeya kinyonga! Ukikariri red color anakuja na blue color
Ila kwenye show amekuwa mstaarabu sana tofauti na mwanzo alivyokuwa macho juujuu kama anataka kuiba lol
 
mwenzangu, hata mimi sikuwepokuwepo, ila nilikuwa nafwatilia mambo kwa wiziwizi tu, si unajua kama hakuna miss basi mvuto ukapotea!


Jamani mamito @FP,
nashukuru kwa kuni miss kipenzi changu.
asnte sana.
 
Pole sana mamaa na safari bibie tangu uondokee.......................!!! well come back!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…