Kuna vimwali huku.....Utahitaji????
We si umerudi nae bhana???
Kwani yule mweupe mweupe aliyepandia pale Handeni alikuwa wa nani?
mwenzangu, hata mimi sikuwepokuwepo, ila nilikuwa nafwatilia mambo kwa wiziwizi tu, si unajua kama hakuna miss basi mvuto ukapotea!Yaani Shoga a'ngu nilikumisije???? FP nani Mchokozi tuanze kumuweka kati????
vidole vyaniwasha mieeeeeeee......,
Nimeyamiss masingi.
sasa wewe dogo sisi tuliokuwezesha unatutoaje?No hakuna labda unipe mbinu 2 nitoke vp!
Heheheeee mi nahitaji kuwa na Kipipi tu na si mwingine so labda uhakikishe anakuja kuwa nami mileleAsante sana Erickb52.
Yani me ndo nilikuwa nakuotaga kabisa.
Nshakaribia,vp utahitaji kimwali? Nicas Mtei alishajiwahiaga siku nyingi.....