Madalali wanahitajika

JMF

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
1,756
2,764
Airbus A380 used ipo sokoni. Haijatumika bongo. Inaruka na haina tatizo lolote wala haijawahi kupata ajali. Bei ni sawa na bure. 420M USD tuu au TSh.850bil. Pia maelewano yapo. Sababu za kuiuza ni kwamba kampuni yetu inataka ibadili aina ya biashara. Nimesikiasikia huko bongo serikali inampango wa kununua ndege hivyo nikaona siyo vibaya nikaweka hapa hili tangazo maana wanapitapita humu. Kama unamfahamu dalali mshtue tufanye biashara ule 10% yako. Mteja atakayefika bei namletea hadi hapo alipo. Karibuni sana.
46a0411ffbd34ee01d26855ad9df31c5.jpg
 
Nitumie pm namba yako mkuu tuobgee biashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom