Yale ni mambo ya imani ndugu, ndio maana kama huamini huwezi fanikiwa iwe tiba au bahati, unaweza ukawa na Elimu ila ukawa unasumbuliwa na mambo ya mizimu ambayo wengi kwa sasa yanawasibu ila hawajui kutokana na umjinimjini, kila binadamu ana asili hata kama huamini wewe mzazi wako anaweza akawa anaamini huko/mizimu, na kuisusa adhabu yake itakuja mpaka kwenu