[emoji15] [emoji15] [emoji102] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Nyamisati na mikoko yule prof fundi hatari alimnanga Ben hatari na la saba yangu hiyo buku ninayo kwa library
Chapuo la madalali na matangazo yasiyokoma huku jamii ikiwa imeaminishwa pakubwa kwamba huko ndio kwenyewe.Mimi huwa nashangaa sana unamkuta mtu ana elimu nzuri tu lakini unamkuta kwa waganga wa kienyeji anapiga ramli, nadhani elimu yetu ina mapungufu makubwa, elimu yetu haiwafanyi watu wetu kujiamini
Nilishangaa sana kuwaona Mrema na Sizonje Mkolomije wakiwa kwa Babu wa Loliondo wakinywa zile dawa za kienyeji, toka hapo niliwadharau sana hao watu wawili.Chapuo la madalali na matangazo yasiyokoma huku jamii ikiwa imeaminishwa pakubwa kwamba huko ndio kwenyewe
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Kweli aisee waelekezaji wamekuwa wengi kuliko waganga.
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Tawiree baba!
Na kuna wakati hawa waganga wanajifanya hawataki pesa bali hukuelekeza pahala ukanunue vifaa . ...aisee kote huko ni kwao! Udalali uko kila konaWapigadebe, kweli ni wengi sana, na Wateja wao wakubwa ni polisi na wanasiasa
Wanakuambia ukifanikiwa uje na hela hapa ili nizitambikie hapo ndipo wanapopiga hela yao ya kutakataNa kuna wakati hawa waganga wanajifanya hawataki pesa bali hukuelekeza pahala ukanunue vifaa . ...aisee kote huko ni kwao! Udalali uko kila kona
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Hahahaa ndo hapo unaambiwa vifaa vinakua bei kuliko gharama za tiba...kaka mshana umetembea sna eeehh!!!!Na kuna wakati hawa waganga wanajifanya hawataki pesa bali hukuelekeza pahala ukanunue vifaa . ...aisee kote huko ni kwao! Udalali uko kila kona
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Mmh maskini sijui wamepigwa bei gani hapo na bado sijui watatakiwa kutoa bei ganiBaba mwenye nyumba anaishi na mke wa kufikia. Huyu mama hajazaa na jamaa ila wamefunga ndoa na wana zaidi ya miaka 10 ya kuishi pamoja, Stori zinadai huyu mama anataka kurithi nyumba (kwa mawazo yangu yeye ana % yake hapa tayari) hivyo anawapukutisha watoto wa jamaa aliowakuta.
Mtoto mmoja ana uchizi, vikimpanda akipelekwa Muhimbili vinatulia, kwa kama miezi 2 amekua anaumwa juzi mumewe kampeleka kwa mganga, mganga akasema binti kalogwa sana na akampa dawa za kumuweka sawa.
Aogeshwe nazo kila saa saba usiku.
Jana nimechelewa kurudi kwenye mihangaiko yangu nakuta watu saa 7 wanaogeshana nje.
Kwa imani kama hizi hao madalali wataneemeka tu.
CC KyokolaHalafu wana ushawishi mkubwa sana
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app