Kwani kirefu cha Dr. ni nini?
Kirefu chake ni Doctor lakini maanake sio daktari wa kutibu, maana yake ni mtu alipata Degree ya PhD (Doctorate Degree)
unajua watu wanaosoma kozi za kukata viuno ndo tatizo lao. Wanafikiria one sided. Ameweza kuingia jf ila ameshindwa kugoogle maana ya doctor. Hivi anafikiri kozi zake za unit mbili mbili ni sawa na pathology yenye unit 14? Ukiunganisha unit zote za kozi za miaka mitatu wanayosoma hazifiki hata robo ya unit za kozi ya medicine au bvm.
Sio mimi nimeitoa wapi, iko hivyo, Dr. iko kwa ajili ya watu wenye PhD tu aidha ya kusomea au ya heshima! kwa hiyo kama mtu anatumia Dr. kujitambulisha ina maana ana PhD na si vinginevyo!
Sasa ushasema maDAKTARI Alafu unauliza kwa nini wanaitwa dr. muwe mnafikiria kwanza sio kuandika ilimradi umeandika! daktari kwa kiingireza anaitwaje? dr ni kifupi cha nini?
unajua watu wanaosoma kozi za kukata viuno ndo tatizo lao. Wanafikiria one sided. Ameweza kuingia jf ila ameshindwa kugoogle maana ya doctor. Hivi anafikiri kozi zake za unit mbili mbili ni sawa na pathology yenye unit 14? Ukiunganisha unit zote za kozi za miaka mitatu wanayosoma hazifiki hata robo ya unit za kozi ya medicine au bvm.
unaweza fananisha degree ya Medical doctor na phD ya sanaa!
unaweza fananisha degree ya Medical doctor na phD ya sanaa!
| doc·tor (d
2. a. A person who has earned the highest academic degree awarded by a college or university in a specified discipline. b. A person awarded an honorary degree by a college or university. 3. Abbr. Dr. Used as a title and form of address for a person holding the degree of doctor. 4. Roman Catholic Church An eminent theologian. 5. A practitioner of folk medicine or folk magic. 6. A rig or device contrived for remedying an emergency situation or for doing a special task. 7. Any of several brightly colored artificial flies used in fly fishing. v. doc·tored, doc·tor·ing, doc·tors Informal v.tr.1. Informal To give medical treatment to: "[He] does more than practice medicine. He doctors people. There's a difference" (Charles Kuralt). 2. To repair, especially in a makeshift manner; rig. 3. a. To falsify or change in such a way as to make favorable to oneself: doctored the evidence. b. To add ingredients so as to improve or conceal the taste, appearance, or quality of: doctor the soup with a dash of sherry. See Synonyms at adulterate. c. To alter or modify for a specific end: doctored my standard speech for the small-town audience. d. Baseball To deface or apply a substance to (the ball): was ejected because he doctored the ball with a piece of sandpaper. |
unaweza fananisha degree ya Medical doctor na phD ya sanaa!
kumbe ww na huyu mtoto hauna tofauti yeyote! badala umjibu kubwa zima sijui holder wa md/bvm/amo unampa mipasho ya taarabu! amekuambia hamjui mzee yusufu au, ndio maana mpo nchini mmekalia majungu ugonjwa kidogo tu ni lazima India kweli nyie ethiks zenu zero.BVM /DVM ovyo walipa kodi waliowafundisha wanafuga ngombe lakini soko hamna kisa magonjwa yanayoweza kuzuilika.Laiti ningekuwa ni mimi hata hyo sifa ya kuitwa daktari hapa bongo nisingeitamani! Mwanaume /msomi wa shoka anajisifia kwa kazi na si migomo migomo ya kibinafsi eti sisi muhimu , muhimu kwa lipi?
kumbe ww na huyu mtoto hauna tofauti yeyote! Badala umjibu kubwa zima sijui holder wa md/bvm/amo unampa mipasho ya taarabu! Amekuambia hamjui mzee yusufu au, ndio maana mpo nchini mmekalia majungu ugonjwa kidogo tu ni lazima india kweli nyie ethiks zenu zero.bvm /dvm ovyo walipa kodi waliowafundisha wanafuga ngombe lakini soko hamna kisa magonjwa yanayoweza kuzuilika.laiti ningekuwa ni mimi hata hyo sifa ya kuitwa daktari hapa bongo nisingeitamani! Mwanaume /msomi wa shoka anajisifia kwa kazi na si migomo migomo ya kibinafsi eti sisi muhimu , muhimu kwa lipi?
Medical Dictionary
Find Words, Definitions, Spellings & More for Free. Get ReferenceBoss!
www.ReferenceBoss.com
doc·tor (d k t r)n.1. A person, especially a physician, dentist, or veterinarian, trained in the healing arts and licensed to practice.
2. a. A person who has earned the highest academic degree awarded by a college or university in a specified discipline.
b. A person awarded an honorary degree by a college or university.
3. Abbr. Dr. Used as a title and form of address for a person holding the degree of doctor.
4. Roman Catholic Church An eminent theologian.
5. A practitioner of folk medicine or folk magic.
6. A rig or device contrived for remedying an emergency situation or for doing a special task.
7. Any of several brightly colored artificial flies used in fly fishing.
v. doc·tored, doc·tor·ing, doc·tors Informal
v.tr.1. Informal To give medical treatment to: "[He] does more than practice medicine. He doctors people. There's a difference" (Charles Kuralt).
2. To repair, especially in a makeshift manner; rig.
3. a. To falsify or change in such a way as to make favorable to oneself: doctored the evidence.
b. To add ingredients so as to improve or conceal the taste, appearance, or quality of: doctor the soup with a dash of sherry. See Synonyms at adulterate.
c. To alter or modify for a specific end: doctored my standard speech for the small-town audience.
d. Baseball To deface or apply a substance to (the ball): was ejected because he doctored the ball with a piece of sandpaper.