Quote "I guess kesho habari kuu kwenye media ni madaktari wasitisha mgomo na kurudi kazini,. anayebisha tu bet!!"
Uko sahihi kamanda wangu. Ni kweli MAT wametangaza muda mfupi ulipita kuwa mgomo umesitishwa rasmi baada ya kukutana na Rais na kujadili naye mambo kadhaa kwa kina na mwisho wa mazungumzo yao wakaona ni busara kusitisha mgomo