Wiki iliyopita nilisoma kwenye gazeti la nipashe kuwa baraza la madaktari linaanza kuwahoji madaktari walioshiriki kwenye mgomo na baadaye kusitishiwa usajili na ilielezwa kuwa wanaanzia Mbeya.Naomba mwenye updates atufahamishe kilichoendelea au kinachoendelea hadi sasa.