MADAKTARI,WALIMU....ole wenu MSIGOME...

kwa mchezo huu ccm ikishnda 2015 inabidi iundwe tume tujue wameshindaje shindaje mana kila mtu haipendi
R.I.P chichiem
kumbe haya nayo mambo ya kiCCM bora wagesubiri 2015! ! labda watasikilizwa
 

Tuko pamoja Mkuu! Serikali ndo inakusanya kodi zetu na ndo inawajibika kuipangilia matumizi kadiri ya vipaumbele! Tukiendelea kuruhusu vipaumbele viwe siasa na wanasiasa basi tusibirie migomo toka kada zote za wasomi na wataalamu!
 
haisaidii kupinga mgomo tetea maslahi ya madaktari ili upate huduma unayo stahili, huyo dokta akikutibu katika mazingira magumu yaliyopo bila dawa wal vitendea kazi unafikiri utapona
 
hivi huu mgomo ni watanganyika tu au wazanzibari pia wapo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…