VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Tumechoka kuwasikia
mkinung'unika juu ya maslahi na madai yenu.Mmekuwa wasemaji sana
nyinyi.Sasa tunataka matendo. Simamieni haki zenu.Ziteteeni.Kama mtaamua
mambo yaendelee yalivyo,nyamazeni milele.Tumewachoka na sms zenu.
Tumewachoka na 'conference' zenu.Tarehe zenu za migomo
tunazijua.Tutazizingatia.Msipogoma,msitujue tena.Hatutawaunga mkono
kivitendo wala kimawazo.Fanyeni kweli.Ole wenu msigome...
Mgogoro wa madaktari ni mgogoro wa kimaslahi.Huu unapelekea mgomo halali wa kisheria kama taratibu zifuatavyo zitafuatwa.Kwanza,mgogoro uwe umepelekwa kwenye Tume ya Usuluhishi na Uamuzi.Pili,mgogoro ubaki bila utatuzi kwa kipindi cha siku thelathini au kipindi kingine cha nyongeza cha Msuluhishi cha siku thelathini.Tatu,mgomo unaitishwa na Chama cha Wafanyakazi kufuatia kura kupigwa kikatiba ya chama huku wengi wakiunga mkono mgomo.Na tano,Notisi ya saa arobaini na nane iwe imetolewa kwa Mwajiri(hapa Serikali).Mkuu,hizo ndizo hatua za kisheria za mgomo halali.Kinyume na hapo,Serikali yaweza kufanikiwa kuweka Pingamizi au hata kuwaadhibu wagomaji.Walimu na Madaktari na wasikie...sasa ndugu yangu VUTA-NKUVUTE mbona kama unaugombeza tena? Hebu weye tuambie manake tunahitaji pamoja na mawazo ya watu wengine kama nyie yatakayo tuongezea nguvu katika hoja zetu so tunakaribismaoni has ya utaalam wa kisheria kabisa.
Mgogoro wa madaktari ni mgogoro wa kimaslahi.Huu unapelekea mgomo halali wa kisheria kama taratibu zifuatavyo zitafuatwa.Kwanza,mgogoro uwe umepelekwa kwenye Tume ya Usuluhishi na Uamuzi.Pili,mgogoro ubaki bila utatuzi kwa kipindi cha siku thelathini au kipindi kingine cha nyongeza cha Msuluhishi cha siku thelathini.Tatu,mgomo unaitishwa na Chama cha Wafanyakazi kufuatia kura kupigwa kikatiba ya chama huku wengi wakiunga mkono mgomo.Na tano,Notisi ya saa arobaini na nane iwe imetolewa kwa Mwajiri(hapa Serikali).Mkuu,hizo ndizo hatua za kisheria za mgomo halali.Kinyume na hapo,Serikali yaweza kufanikiwa kuweka Pingamizi au hata kuwaadhibu wagomaji.Walimu na Madaktari na wasikie...
ubarikiwe sana kwa kutukumbusha haya,ngoja na sisi tuyafanyie kazi.Mgogoro wa madaktari ni mgogoro wa kimaslahi.Huu unapelekea mgomo halali wa kisheria kama taratibu zifuatavyo zitafuatwa.Kwanza,mgogoro uwe umepelekwa kwenye Tume ya Usuluhishi na Uamuzi.Pili,mgogoro ubaki bila utatuzi kwa kipindi cha siku thelathini au kipindi kingine cha nyongeza cha Msuluhishi cha siku thelathini.Tatu,mgomo unaitishwa na Chama cha Wafanyakazi kufuatia kura kupigwa kikatiba ya chama huku wengi wakiunga mkono mgomo.Na tano,Notisi ya saa arobaini na nane iwe imetolewa kwa Mwajiri(hapa Serikali).Mkuu,hizo ndizo hatua za kisheria za mgomo halali.Kinyume na hapo,Serikali yaweza kufanikiwa kuweka Pingamizi au hata kuwaadhibu wagomaji.Walimu na Madaktari na wasikie...
Tumechoka kuwasikia mkinung'unika juu ya maslahi na madai yenu.Mmekuwa wasemaji sana nyinyi.Sasa tunataka matendo. Simamieni haki zenu.Ziteteeni.Kama mtaamua mambo yaendelee yalivyo,nyamazeni milele.Tumewachoka na sms zenu.
Tumewachoka na 'conference' zenu.Tarehe zenu za migomo tunazijua.Tutazizingatia.Msipogoma,msitujue tena.Hatutawaunga mkono kivitendo wala kimawazo.Fanyeni kweli.Ole wenu msigome...
Ikitokea ukapata ajali wewe ama jamaa yako wa karibu, halafu ukaenda Hospitali na kukosa huduma ya haraka na kuleta madhara, ndiyo utapata upeo wa kujutia uhamasishaji wako. Cha msingi hapa ungeshinikiza serikali iweze kutatua matatizo ya madaktari na wauguzi kwa haraka bila kuingiza siasa. Hii itasaidia kuendelea kwa huduma ya afya na pengine kuwahamasisha waganga na wauguzi wetu katika kutupatia huduma bora.
Nimekugongea like.Nasisitiza!! SIMAMIENI MNACHOKIAMINI!! OLE WENU MSIGOME!!
Tumechoka kuwasikia mkinung'unika juu ya maslahi na madai yenu.Mmekuwa wasemaji sana nyinyi.Sasa tunataka matendo. Simamieni haki zenu.Ziteteeni.Kama mtaamua mambo yaendelee yalivyo,nyamazeni milele.Tumewachoka na sms zenu.
Tumewachoka na 'conference' zenu.Tarehe zenu za migomo tunazijua.Tutazizingatia.Msipogoma,msitujue tena.Hatutawaunga mkono kivitendo wala kimawazo.Fanyeni kweli.Ole wenu msigome...
msimu mwingine wa mavuno kwa akina Profesa maji marefumimi kama rais wa tano,napinga kabisa mgomo wa madaktari kwa sababu babu yangu na bibi yangu na wazazi wangu ni wagonjwa na hawana uwezo wa kwenda India wala hindu mandal wala regency hospital.
Hata kama ukiwa upinzani haipendezi kuhamasisha jambo la kutesa binadamu wezako..... hakuna mgomo usioumiza watu.