mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,097
- 655
no English no discussion
if you don't know English try Arabian
Discussion on current news and event on what is happening in Tanzania. Discuss in ENGLISHNdo nini sasa hii?
Discussion on current news and event on what is happening in Tanzania. Discuss in ENGLISH
no English no discussion
if you don't know English try Arabian
Madaktari nchini Marekani wamefanikiwa kuwatengezea wanawake wanne sehemu ya uke kwa njia ya kisayansi.
Walitumia mfano wa seli ya uke na mifupa ya mwili kuweza kukuza uke huo katika maabara kwa kuzingatia wastani na umbo la kila mwanamke.
Baada ya matibabu hayo, wanawake hao wote inaarifiwa walielezea kupata hisia sawa na kamilifu,matamanio, kuridhishwa wakati wa tendo la ndoa pamoja na kutopata maumivu yoyote wakati wa tendo la ndoa.
Wataalamu walisema kuwa utafiti wao, ambao matokeo yake yalichapishwa katika jarida la kisayansi la Lancet, ni mfano wa hivi karibuni wa nguvu za mbinu tofauti na za kisasa za matibabu.
Wanawake hao walizaliwa na uke ambao haukuwa umeumbika vyema yaani ulikuwa na kasoro ya maumbile , tatizo linalojulikana kama vaginal aplasia.
Matibabu ya kisasa kwa tatizo kama hilo la kiafya yanaweza kuhusisha upasuaji ambapo ngozi au sehemu ya utumbo inatumika.
Celi zilichukuliwa kutoka kwa kizazi cha kila wanawake hao ambacho kilikuwa na kasoro ya maumbile na kukuzwa katika maabara ili kuweza kuzaana.
Picha za kizazi cha wanawake hao zilitumia kuwarekebishia uke wao.
Hili bila shaka ni jambo geni katika sayansi ya matibabu na pia inatoa taswira ya mambo yatakavyokuwa katika siku za usoni.
Jambo la Kutumia celi za mwili kubadilisha maisha ya wagonjwa tayari limefanyika na kuwasiaidia wagonjwa kupata kibofu cha mkojo, mishipa ya damu na koo.
Sasa unaweza kuongeza kwenye orodha hiyo, uke na pua.
BBC SWAHILI
Kilaza wewe unajifanya kuwa unatukashifu kumbe utaka usaidiwe tafsiriwa habri uliyeipenda wewe.....kima wewe.Sasa shule ulienda fanya ini?Nadhani habari hii itawafurahisha sana kina Nicholas , Remote matumbo na chamtemamoto. manake hawa lbd wangependa kubadili ile maneno! Kwi kwi kwi kwi!
Kilaza wewe unajifanya kuwa unatukashifu kumbe utaka usaidiwe tafsiriwa habri uliyeipenda wewe.....kima wewe.Sasa shule ulienda fanya ini?
km unataka jua nani atapoteza pita uswazi kwenu uone wanawake wanavyotamani kuwa waarabu...wamtoboa pua..wapo ktk meusi...angalia walivyo na rangi za bluu,nyeusi,nyekundu na brown....hakulize wanawake wanaotafuta Bikra za bandia wanatoka jamii gani...?uliza wanaongea makalio bongo wanatoka familia gani....?SITOSHANGAA SIKU NAKUKUTA NA BI ...SHIDA BINT DUNI ,BIN TALIBANI halfu tukimwangalia kajichubua hadi kaota manyoya km Orang utang mchanga..huku akiwa na rangi kibao..na alivyokomaa anatoka base km asha barakaTeh teh teh! Wanasema hio huduma ya kubadilishwa nanihino inakuja Bongo! Sasa mi nakushauri acha gongo kwa muda! Halafu hio pesa ya kununulia gongo iweke kwa ajili ya operation! Ukitoka theatre, utageuza mpaka jina. Badala ya Nicholas utaitwa Nansi maria! Na utapakwa mkorogo mpaka kwenye makalio! Teh teh teh teh!
km unataka jua nani atapoteza pita uswazi kwenu uone wanawake wanavyotamani kuwa waarabu...wamtoboa pua..wapo ktk meusi...angalia walivyo na rangi za bluu,nyeusi,nyekundu na brown....hakulize wanawake wanaotafuta Bikra za bandia wanatoka jamii gani...?uliza wanaongea makalio bongo wanatoka familia gani....?SITOSHANGAA SIKU NAKUKUTA NA BI ...SHIDA BINT DUNI ,BIN TALIBANI halfu tukimwangalia kajichubua hadi kaota manyoya km Orang utang mchanga..huku akiwa na rangi kibao..na alivyokomaa anatoka base km asha baraka