wewe ni kibaraka wa edo. huwezi ukawa unatetea ujinga kiasi hicho . yani unataka kuhalalisha wizi alioufanya edo? hatuwezi kukubaliana na wewe katika ujinga huu unaotueleza . watanzania wanaelewa pumba na mchele ni upi. usiwafanye wa tz ni wajinga kama wewe kibaraka wa edo. endelea kukubali kushikiwa akili.
Ndiyo, nchi ililipuka, but, in what direction?; FYI, kuna wengi walishangazwa na kusikitishwa na kitendo cha kamati kuleta taarifa ya kupika, FYI, swala la Richmond wabunge wengi walikuwa wanajua ukweli wake ambao ni tofauti na kilichoelezwa na taarifa ya Mwakyembe, so, you better read btn the lines.
aliyemtumia Mwakyembe kuzungumza uongo ndiyo huyuhuyu ambaye sasa hamuhitaji Mwakyembe kwenye jukwaa la siasa. Ukweli uko wazi lakini cha kushangaza ni kuwa bado hata GT wanadanganya jamii.
Emancipate yourself from mental slavery, non but ourself can free our minds, have no fear for atomic energy cos non of them can stop the time.................................how long shall they kill our prophets while we stand aside and look?. Wont you help to sing, the songs of freedon, its all i ever want, redemption song.
Gazeti la mwananchi la leo nimeona kichwa cha habari kisemacho : Wiki muhimu ya Mwakyembe... Sijapata nafasi ya kusoma kilichomo kwenye habari kamili!
Gama, wewe na lowasa msitufanye sisi hamnazo, pendekezo la kuvunja mkataba aliouasisi halimfanyi lowasa kuwa sahihi.Mkuu Janson, unaonaje ukijadili hoja badala ya kutukana?!, kila mtu anayejibidisha kufikiri sasa anaweza kuona who was behind richmond, sidhani kama ni Lowasa. I can see it in your eyes kuwa umetumwa kama walivyotumwa akina Mwakyembe kupotosha ukweli kwa maslah ya urais- wewe hujaliona hilo?!,
Lowasa amewaambia hao waliokutuma kuwa hakuhusika na alishauri mkataba wa Richmond ufutwe na kama unatumia your upstairs vizuri utakuwa umeelewa kuwa pendekezo lake halikuwa-honoured, bado tu unasisitiza kuwa alikuibia?! Alikuibia nini?!, keep on weiling.
maaMkuu toa taarifa kamili! tunahitaji kujua hali ya Dr. ni moja ya watu waliowezesha mabadiliko makubwa nchini kutokana na kazi zao, najua wengi hawaamini jinsi nchi ilivyolipuka baada ya EL kujiuzuru.
kweli anahitaji maombi
Mwakyembe hata akirudi Hawezi kuwa na afya nzuri kama aliyokuwa nayo Mwanzoni kabla ya Hiyo wanayosema sumu aliyopewa
Meaning kwamba utendaji wake Utapungua sana kwani atakuwa anatakiwa kupata muda mwingi wa Kupumzika
Kifupi ni kwamba .........Huyu mpiganaji Kushnei/ Chali/ Kwishaaaaaa habari yake
Wamefanikiwa kumuua huyu Mpiganaji.
Mungu yupo watakiona cha Moto hao wote walifanya huyo Udhalimu
Gama, wewe na lowasa msitufanye sisi hamnazo, pendekezo la kuvunja mkataba aliouasisi halimfanyi lowasa kuwa sahihi.
Kukataliwa kwa hiyo proposal kulisababishwa na kiapo cha utii kuulinda mkataba alichokula jk na baraza lake la mawaziri kwa rostam! kwa hiyo alichofanya jk ni kumkumbusha ushiriki wake kwenye hilo dili! ndiyo maana alijiuzulu peke yake kwa manufaa yatokanayo na syndicate ili kutopunguza nguvu ya utetezi wa hiyo syndicate katika vyombo vya maamuzi. lowasa hafai, hafai nasema hafaii!