Hyo ya kama alishauriwa ni stor yako sasaWhat if kama alishauriwa aende kwenye hospitali kubwa akarefuse? Je umepata maelezo ya upande wa pili?
Sikatai,hilo linaweza kutokea ila wakati mwingine wagonjwa wanajisababishia matatizo kwa ubishi na ujuaji wao.
Tuliza munkari na soma kwa umakini utajua ninachomaanisha. Sipo kubishana.
Wakuu,vifo vingi ukichunguza kiundan,ni uzembe wa hali ya juu,sana sana hivi vi-dispensary mitaani vinaua sana watu kwa utatibu mbovu.
Mtu unampima sukari imefika 24 unamruhusu aende home afanye diet pumbavu
Nchi zingne ni jela tuu
Uzi tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi zingine ukienda duka la dawa hata kama unaumwa vipi, kama hauna prescription ya drm huuziwi dawa. Leo nenda dawa la duka lolote mwambie nipe alu hata hakuulizi anachomoa anakupa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna clinical officer aliefeli nahisi we ndo ulifeli kumtambua muhudumu aliekuhudumia ili uwe co lazima ufanye mitihani ya bodiKujitoa unajitoa tatzo hutumii taaluma...skuhiz mliofeli mnapata hzo nafas,na ndo nyie mnaua watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Doctor of Medicine(M.D), Doctor of Dental Surgery(D.D.S) , Doctor of Philosophy (PhD) ,Doctor of Science, (Honorary.Doctorate) wanaotunuku wanajua vigezo,Watanzania vipi ? Hata muuza dawa (duka muhimu ) anaitwa "doctor " . Hata mwenye degree ya kwanza ni ' medical officer ' Nikisikia neno doctor huwa ninauliza degree ya tatu (fani ileile ) amesomea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app