Madaktari na miandiko yao....mh

Haya tuwasubiri madaktari waje kujibu shutuma
 
Hahahahaha subiri waje watakuchoma sindano shauri yako wee wachokoze tu...lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nawasubiri ma docta waje hapa.
hivi ni lazima kucharanga mwandiko?
 
Aaahahahaaahaa asante mkuu maana naona una utani na hawa kina Uli...ka majanga!
 
Mbona naandika vizuri hapa au huwezi kusoma lkn sio sahihi kwa madaktari kuandika mbofumbofu sometimes kwa sababu ya wingi wa wagonjwa
 
Hapo unahitaji BEST CODE CRACKING SOFTWARE kujua kakujibu nini, teh teh teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…