Madaktari/Manesi Legency hospital jirekebisheni

Madaktari/Manesi Legency hospital jirekebisheni

Joined
Mar 11, 2014
Posts
26
Reaction score
7

Ndugu yangu alikuwa anaumwa nilimpeleka Hospital legency saa 10 alfajiri, Hao wadada wa reception wana majibu mabaya sijui usingizi au?

Kituko kwenda ODP kumuona daktari, tunaingia tu , daktari kaomba kulala yaani apumzike kidogo, tulipata hasira sana.

Alafu nyie madaktari si kila si kila anayeumwa kichwa, tumbo na viungo ni Maralia, maana mlimtwika ndugu yangu midose ya malaria na misindano juu, wakati anaumwa typhoid, achene hizo mtaua watu, kama mnausingizi si mbaki nyumbani mpumzike, mbona maabara ipo hapo kwa nin msi -recommend mgonjwa apimwe kabla ya dawa.
 
We mleta mada nae unajichanganya.Sijui Dem wako ndio anafanyakazi pale unataka kumuharibia.

Umepojichanganya ni Hapa,na kama umetumwa mwambie aliekutuma ajipange.Regency wanafahamika kwa huduma zao

a)Unasema amepewa Mi Dose ya Malaria na Sindano Juu,
Kwa uelewa wa mtoto mdogo tu,hiki kitu hakuna,huwezi kupewa Dose ya Malaria bila kupimwa kwa Level ya Hospital Ile.
b)Umesema hukumuona Doctor,sasa je nani alikuandikia cheti kwamba unaumwa Malaria na Dose nani alikuandikia
c)Kama umepewa Dose ya Malaria na wewe unaumwa Typhod,ulijuajek uwa una Typhoid?
d)Kwanini ukubali Dose ya Malaria na wewe unasema unaumwa Typhoid?

Na pia Utambue kwamba unaweza kuwa na Typhoid na Malaria at the same time.Na Malaria inaweza kuificha Typhoid na kufichuka pale inapotibiwa.
 
Aje arekebishe au aseme yupo sahihi tusimlazimishe hospitali yake iitwe Regency
 
Back
Top Bottom