Madaktari India wagoma

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
Wakuu habari ndio hiyo.....

source CNN
 
kwa hiyo ngoma draw,,yani hata wao wakiumwa apollo hawamtibu mtu..nimeipenda hii coincidence
 
Duh!! Nilijua ni Tanzania tu kumbe hadi India....!!! makubwa
 
Mara ya kwanza niliona mgomo wa madaktari ulio leta mabadiliko chanya ilikua ni South Africa. yaani jamaa waligoma hadi kilipoeleweka!
Alafu hii mada nadhani ingepelekwa international forum au?
 
Mara ya kwanza niliona mgomo wa madaktari ulio leta mabadiliko chanya ilikua ni South Africa. yaani jamaa waligoma hadi kilipoeleweka!
Alafu hii mada nadhani ingepelekwa international forum au?

Sawa lakini nadhani imeletwa hapa kuonesha solidarity among professionals across continents; na pia similarity ya matatizo yao!!
 
kwa hiyo ngoma draw,,yani hata wao wakiumwa apollo hawamtibu mtu..nimeipenda hii coincidence
Madaktari wa Apollo hawawezi kugoma maana hii ni hospitali maalum kwa ajili ya wateule.
 
heeeee.....
Safi sana, sasa yule mama anayepata post menopouse PMS kila aonapo neno CHADEMA aje kutuambia India kuna CHADEMA gani.
 
Chadema wamesha washawishi na wale madokta wetu kule naninhiiii yani hawa jamaa hawa aghrrrrrrrrrrrr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…