Comrade Gango2, hii mada yako mbona ni kama kachumbali?!, umechanganya issues mno: hivi Amana na Mwanyamala nao wako kwenye Mgomo?!, hivi kweli umepata nafasi ya kupitia madai ya madaktari vizuri?!, mbona madai ya nyongeza ya mshahara ni moja kati ya madai mengi ya kuboresha mazingira ya kazi hasa uwepo wa vifaa bora?!, pitia vizuri orodha ya madai yao kabla hujawa one sided kwenye maamuzi.
Kaka mimi ni daktarri nimefanya kazi vijijini many years na degree yangu, nimetibu kina mama usiku na mchana bila kuchoka nugu yangu, nimepikia wagonjwa wanaotoka maili nyingi chakula na kuwapa nauli, nimechangia wagonjwa damu many times...
Mimi ni mzalendo tena sana, mazingira magumu sasa basi yametosha,,, hivi unajua watu wanakufa vijijini kwa kuwa hakuna mipira ya kulishia puani ambao moja haufikii sh 5000?
Tuna serikali kweli sisi?tunaendesha upuuzi wa sabasaba na nane na week ya utumishi wa umma....ila watu wanakufa kwa hili dogo....UZALENDO!!!!
Kama wewe mzalendo sana kasomee udaktari hujachelewa Am sure then utajua kwa nini tunagoma, na tutaendelea kugoma ndugu yangu....migari ya serikali kila siku mipya,,,,,,dawa hawaleti vifaa hawaleti.....wazalendo sana na wao wakosomee udaktari, walimu they do not want to dare...WE CAN DARE ...

:bolt:WanaJF
Habari zenu, CCM hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
tafadhari hili jambo sio la mzaha, kweli madaktari wanamadai (kama ya msingi haya kama sio ya msingi sawa), lakini lazima tukubali kuwa mgomo sio suruhu wa matatizo jamani, watu wanakufa mahospitalini, najua kuna watu humu ndani wanashabikia sana mgomo, ukweli ni kuwa wengi wetu tulio na uwezo hata wa kubrows net tunaweza kuenda Marie stopes, mikocheni shop au hospital nyingine yoyote ya private.
Leo nimetembelea pale mwananyamala na amana hali ni mbaya jamani, watu wanakufa ambao wanaweza kupona kama watapata huduma, hebu try to imagine umempeleka mzazi wako hospital (mama au baba yako) kisha unafika pale unapewa kauli na muhudumu ‘bora afe mbona wengi wamekufa toka asubuhi' utajisikiaje??
Tusishabikie mgomo kwa kuwa tunauwezo wa kwenda private hospital hebu fikiria Yule asiyeweza kwenda private anavyo umia. Leo humu kuna watu wanajifanya wanadiriki kushabikia mgomo kwakuwa wapo wazima na hawaumwi lakini kumbukeni kuna watu wako serious wanahitaji huduma ya haraka.
Hiki ni kipindi cha soko huria, mi nafikiri ukiona huridhiki na mshahara wa selikarini ni vizuri ukatafuta kazi private sector, kuliko kuomba kazi kisha hutaki kufanya kazi eti unagoma kudai mshahara zaidi
Madaktari msitumie umuhimu wa taaluma yenu kuwaadhibu watu wasio na hatia, hebu kuwani na moyo wa huruma. Kwani hayo mzingira bora ya kazi mnayodai si huko nyuma yalikuwa hivyo hivyo, mbona walimu wanapelekwa vijijini wanajitahidi na wale wanaoshindwa wanaacha kazi.
Najua kuna watu wao kazi yao kushabikia tuu tena ushabiki usio na maana!! Hebu katika hili tusiwe kama watoto wadogo, lamsingi warudi hospitalini kufanya kazi zao, hoja kuwa udaktari ni kazi sana kuusomea haina tija, tena ni sababu dhaifu sana kwenu, watu wengine mbona waliona bora wasomee fani nyingine ili kuondoa kadhia kama hizi kwa wagonjwa sasa nyie mliopewa nafasi msitutese bila sababu ya msingi>
WanaJF
Habari zenu,

Acha wagome na bado walimu (km wanaweza lkn), serikali gani isiyojua vipaumbele vya maendeleo, vipaumbele vya serikali hii ni safari zisizo na tija za jk na msururu wa watu, kusheherekea miaka 50 kwa mabilion, kuongeza mikoa na wilaya ili kuwapa maswahiba ulaji. Serikali yetu imekuwa tajiri kwa kauli na sera zisizotekelezeka, mara kilimo kwanza, mkukuta, vision 2025, what a nonsense!
A doctor can go on holiday not on strike!
wewe wasema
wewe kama muhanga wa mgomo umefanya/umeisisitiza vipi serikali iboreshe huduma za afya na iwajali madaktari? DAKTARI ANAKUTUMIKIA NAWEWE MSAIDIE SI KULALAMIKA TUtafadhari, inawezekana hujafika hapo bali nenda kaone wewe pale, ndio hawa watu wanamadai lakini kwanini wagome ile hali kazi zao zinahusiana na kuokoa maisha ya mwanadamu?. wanamkomoa nani? serikali au mwananchi? nani hajui maisha mabovu anayoishi mwalimu wa leo? mbona wao hawagomi? KUMBUKA UHAI HAUJI MARA MBILI KAKA!! Hamna kitu muhimu na chenye dhamani kama uhai wa mwanadamu, sasa kwanini wewe usababishe upotee??? je niwangapi wanaomtegemea nyuma??