Madaktari hawana imani tena na Waziri mkuu Pinda kwa sababu ni kigeugeu na mwongo na mazungumzo ya mara ya mwisho walivyokubaliana sio kama anavyouekeza umma na amekuwa mnafiki wa kupeleka hoja za mlengo wa serikali pekee.
Mara ya mwisho walimtaka makubaliano yawekwe kwenye maandishi akasema wamwamini atafanya lakini kawalika kimanga.
Na msemaji wao wamemuumiza na wa kusema juu ya mgomo ni Olimboka atakapo pona ndio atatoa tamko kwa kuwa ndio msemaji wao.

Avatar yako inaonyesha una uhaba mkubwa sana wa utaarabu. MODs angalieni hii kitu...
Noana kila sikuu watu wataambiawa wa-resign, wata-resign watawekwa wapya nao wataonekana hawafai nao watashurutishwa, na matatizo yataendelea kuwepo palepale, madini yatendelea kuporwa na wawekezaji, umeme utaendelea kuwa wa shida na bei juu kila kukicha, maji ndo usiseme, foleni Dar hatusemi, Miundo mbinu ndo hiyo. So nionavyo tatizo Sio kujiudhuru ni mfumo tuliuridhi ambao pengine hauna memo ya kmwajibisha kiongozi na kiongozi akawaajibisha walio chini yake. so mtu anakuwa na uwezo wa kujisemea atanifanya nini? wote tunalindwa na katiba.Ndo mana leo kaambiwa aachie ngazi na Tundu Lisu, bahati mbaya akachukia baada kuambiwa kauli hiyo! Amemtisha kwakumjibu "wrong approach"! Mana yake ni kwamba ati Tundu hakupashwa kuuliza hilo swali! Bi Mkora kama kawaida kajifanya anamtetea Pinda, lakini ukweli kausema! Big up Tundu! Mr Pinda yhe best way is you to resign as soon as possible!