waambieni chadema sasa wawasaidie c ndo walikuwa wanapa vichwa..kwisha habari zenu sheria nimsumeno..dr.ulimboka na wenzie wako kimya sahizimadakitari waliojihusisha na mgomo uliotingisha nchi, wameitwa na kuhojiwa kisha wengine kupewa adhabu mbalimbali na wengine kufukuzwa kabisa.
Je, dr. Ulimboka na viongozi wengine watapata adhabu gani???
chanzo soma hapa:
madaktari waliosimamishwa waadhibiwa
mizambwa
inaniuma sana!!!
wamefukuzwa udaktari au wamefukuzwa kazi ya udaktari kwenye hospitali za serikali?
Sijaelewamo....
Wamefukuzwa udaktari au wamefukuzwa kazi ya udaktari kwenye hospitali za serikali?
Sijaelewamo....
hawana kibali watafanya kazi wapi sasa hata private hawawezi fanya kazi....wamepoteza miaka yao shule bure .....kila nchi ina sheria zake
Dah safiiiiiiiii sanaaaaaaa. Haya waende wakanywe viroba vya kugongea sasa.
waambieni chadema sasa wawasaidie c ndo walikuwa wanapa vichwa..kwisha habari zenu sheria nimsumeno..dr.ulimboka na wenzie wako kimya sahizi
bora tu usingeandika heshma yk ingebaki palepalewaambieni chadema sasa wawasaidie c ndo walikuwa wanapa vichwa..kwisha habari zenu sheria nimsumeno..dr.ulimboka na wenzie wako kimya sahizi
Hivi ujinga ujinga utatuisha lini wabongo?Wewe hata huoni kwa kufukuzwa hao waganga hasara zaidi ni kwako wewe mwananchi! Wewe ndie utakae kufa kutokana na kuwa kuna upungufu wa madaktari!, wewe ndie imekula kwako kwa kodi yako kumsomesha daktari ambaye unamfukuza! Wenzio wakiumwa haooo apollo india!Badala ya kuihoji serkali pesa yako ya kumsomesha daktari ni nani atakulipa! Unawaza ubozi! Nimeamini ukiona serkali dhaifu ujue wananchi ndio dhaifu!Au wafukuzwe na nchi kabisa.
wewe mizambwa huna akili. Au unakurupuka . Hawa waliambiwa waende wakatafute mwenye uwezo wa kuwalipa. Hawakwenda wakabaki na kugoma . Sasa wamefukuzwa. Au ulitakaje?