Madai ya NSSF

Madai ya NSSF

DoriG8889

Member
Joined
Dec 14, 2021
Posts
19
Reaction score
15
Habari Mimi Nina swali naitaji msaada hivi mwanachama wa NSSF anawezaje kupata mafao yake kwa wakati maana mfano mkataba ulikuwa umebaki siku chache uishe unawezaje kupata mkopo wako na je inawezekana Kama ni mke au mume kukufwatilia mafao yako naakapewa Bila shaka je Nini chekufanya
 
Mkuu kwa uelewa wangu
1. Kama umefikia umri wa kustaafu unatakiwa uende NSSF wakupe fomu ya madai uijaze na mwajiri wako hiyo inaitwa kukclaim mafao.utapeleka NSSF kusubiri mafao yako.Mara nyingi ni miezi 3 hadi 6 unapata haki yako kama kila kitu kipo sawa.
2. Endapo hujafikia umri wa kustaafu yaani upo chini ya miaka 55/60 na una fani au taaluma ya kuajirika basi utafungua madai ila utapewa fao la kukosa ajira ambalo ni asilimia 13 kama sikosei la mshahara wa mwisho kwa miezi 6 baada ya hapo kama utakuwa hujapata kazi tena unaweza kudai fedha iliyobaki na ukapewa.
3. Ikiwa huna taaluma ya kuajirika mf usafi,ulinzi upishi,ukuli nk fao lako linatoka mapema tu ndani ya miezi 3-6 baada ya kufungua madai.
Angalizo usiachae kazi bila kupata kazi,mtaa ni mgumu hakikisha unakwenda kuwa na kazi nyingine.
Salaam
 
Juu ya msimazi wa mafao yako ilo wasiliana na NSSF
 
Hivi kwanini wakati mtu anafanya kazi anakuwa anakatwa na NSSF on the spot kila mshahara unapoingia na taarifa zinakuwa sawa lakini ikitokea tu umestaafu na ukaanza kufuatilia mafao yako wanaanza kukuambia mara kalete kitu hiki mara kile mara hivi mara taarifa zako hazijakamilika. Shida huwa nini hawa viumbe???
 
Eti hela ni yako lakini una hangaika kama unaomba mkopo!
 
Mkuu kwa uelewa wangu
1. Kama umefikia umri wa kustaafu unatakiwa uende NSSF wakupe fomu ya madai uijaze na mwajiri wako hiyo inaitwa kukclaim mafao.utapeleka NSSF kusubiri mafao yako.Mara nyingi ni miezi 3 hadi 6 unapata haki yako kama kila kitu kipo sawa.
2. Endapo hujafikia umri wa kustaafu yaani upo chini ya miaka 55/60 na una fani au taaluma ya kuajirika basi utafungua madai ila utapewa fao la kukosa ajira ambalo ni asilimia 13 kama sikosei la mshahara wa mwisho kwa miezi 6 baada ya hapo kama utakuwa hujapata kazi tena unaweza kudai fedha iliyobaki na ukapewa.
3. Ikiwa huna taaluma ya kuajirika mf usafi,ulinzi upishi,ukuli nk fao lako linatoka mapema tu ndani ya miezi 3-6 baada ya kufungua madai.
Angalizo usiachae kazi bila kupata kazi,mtaa ni mgumu hakikisha unakwenda kuwa na kazi nyingine.
Salaam
Well explained...
 
GOOD
 
Habari mkuu, nisaidie kufahamu. Ili upate hela yako iliyobaki baada ya fao la kukosa ajira na umekaa mtaani miezi 18 utaratibu upoje?
 
Back
Top Bottom