Intelligent Idiot
Member
- Jan 21, 2012
- 8
- 0
duh. mkuu. huoni magamba yanapiga ucngz bngen na yanalipwa lak 2, lkn daktari anaokoa waTZ analipwa wekundu wa msimba?Ndugu kwa unyenyekevu naomba mwenye data anipe kwa faida ya wasiojua ukweli kuhusu Madaktari waliogoma wanataka nini hasa mpaka serikali imeshindwa kutekeleza madai yao,KUNA JAMBO KUMBWA HAPA SI BURE. Wagonjwa wanaendelea kupoteza maisha siku hadi siku hawa jamaa na serikali yao hawaelewani,ni nini hasa anbacho hawaelewani. Kwa nyongeza tu naomba kuuliza tu kima cha chini cha daktari ni TZS ngapi per month?
aliyelala usimwamshe ukimwamsha utalala wewe. Ni vigumu kuamini kwamba ulilala hii ni wiki ya pili ya mgomo huo na hujui sababu. Yamkini husikii vizuri.
duh. mkuu. huoni magamba yanapiga ucngz bngen na yanalipwa lak 2, lkn daktari anaokoa waTZ analipwa wekundu wa msimba?
Aache uvivu kidogo zipo thread nyingi zinazozungumzia madai ya madokta. Lakini kwa ufupi ni maslahi.
Wanapinga nauli mpya za kivuko na kupiga mbizi hawawezi!!hivyo eti wanataka vivuko binafsi kila mtu apewe chake mwenyewe duh!!kweli vichwa vingine butu. Huko kwenu redio hazifiki? au??
You're really an intelligent idiot.
Hivi wewe ....idiot uko dunia hii?
Huwa wanasema majina yanareflect tabia ya mtu, kumbe kweli bwana!You're really an intelligent idiot.