Madai ya Lema kugoma kula hayana mashiko

KAKADO

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
230
Reaction score
336
Mh mbunge wa Arusha mjini amegoma kula tangu amewekaa maabus zinaendelea kusambaa kwa kasi,hiii ni baada ya maelezo yaliyotolewa na meya wa jiji la arusha bwana Calist Lazaro ambapo amesema Mh.Lema amelazimika kugoma kula baada yakutoridhika na ukamatwaji wake ambao ameutafsiri kama udhalilishwaji mbele ya familia yake.

Nalazimika kusema madai ya muheshimiwa mbunge Kugoma kula niyamsingi ila ameyafanya kwa kukurupuka,kiasi chakukosa mashiko,haswa kwa wanaomshikilia, mh lema Hajatuambia ni nini hasa anataka afanyiwe ili arejee kula kama kawaida,alipaswa kuliambia Jeshi la Polisi kama walimkamata kwakumdhalilisha mbele ya familia yake,basi polisi Wakaombe radhi kwa familia na watoto wake ndio arejeshe hali yake ya kula kama kawaida,

Niwazi watu wote wanaotumia njia hii kudai haki huweka masharti ambayo yakitekelezwa hurejea kula kama kawaida,mh Mbunge hoja yake ya msingi lakini ameishia kusema amegoma kula Kwa sababu amekamatwa kwakudhalilishwa mbele ya familia yake,ingependeza kama angeenda mbali zaidi kuliambia Jeshi la Polisi lifanye jambo gani ili arejee kula kama kawaida.

Baada ya kusema hayo naomba nimpe pole za dhati mh lema,sote tunafahamu maabusu sio pazuri Mh LISU alikaaa siku moja akatupa ushuhuda MAABUSU sio pazuri,LEMA umekaa siku Tatu tunakila sababu kukupa Pole.

Nawasilisha
 
Amegoma kwa kunyimwa dhamana ambayo ni haki yake kimsingi
 
Unasema madai ni ya msingi, hapo hapo unadai kakurupuka, unaendelea tena kusema hayana mashiko.... sasa hapo nashindwa nishike lipi!
 
Hajaweka wazi kama akipewa dhamana ataendelea kula,nadhani Calist lazaro huenda amekosea kuleta taarifa lema ni mtu makini asingeweza Kuja na mkakati mbovu kiasi hiki
 
Hii itakuwa safi kila anaekamatwa polisi wakaiombe radhi familia!
 
Madai ya Mh.Lema kugoma kula hayana mashiko - hasa katika jamii isioheshimu utu,uhai na uhuru wa binadamu.Nakubaliana na hoja 100%
 
Unasema madai ni ya msingi, hapo hapo unadai kakurupuka, unaendelea tena kusema hayana mashiko.... sasa hapo nashindwa nishike lipi!
Yeye asile tu, kwani kitatokea nini? Yule si walisema dhaifu! Huyu sio dhaifu, acha afe kwa njaa na haiwi chochote
 
lema n mtu mzoefu na naamin anaelewa analofanya na ni kwa malengo gani... so ngoja nisikilzie mchezo
 
Kamanda huyo! Makamanda hawafagi kizembe mm nafikiri kila MTU anauhuru wakufanya akipendacho so mwachen kwanza
 
Mh mbunge wa Arusha mjini amegoma kula tangu amewekaa maabus zinaendelea kusambaa kwa kasi,hiii ni baada ya maelezo yaliyotolewa na meya wa jiji la arusha bwana Calist Lazaro ambapo amesema Mh.Lema amelazimika kugoma kula baada yakutoridhika na ukamatwaji wake ambao ameutafsiri kama udhalilishwaji mbele ya familia yake.

Nalazimika kusema madai ya muheshimiwa mbunge Kugoma kula niyamsingi ila ameyafanya kwa kukurupuka,kiasi chakukosa mashiko,haswa kwa wanaomshikilia, mh lema Hajatuambia ni nini hasa anataka afanyiwe ili arejee kula kama kawaida,alipaswa kuliambia Jeshi la Polisi kama walimkamata kwakumdhalilisha mbele ya familia yake,basi polisi Wakaombe radhi kwa familia na watoto wake ndio arejeshe hali yake ya kula kama kawaida,

Niwazi watu wote wanaotumia njia hii kudai haki huweka masharti ambayo yakitekelezwa hurejea kula kama kawaida,mh Mbunge hoja yake ya msingi lakini ameishia kusema amegoma kula Kwa sababu amekamatwa kwakudhalilishwa mbele ya familia yake,ingependeza kama angeenda mbali zaidi kuliambia Jeshi la Polisi lifanye jambo gani ili arejee kula kama kawaida.

Baada ya kusema hayo naomba nimpe pole za dhati mh lema,sote tunafahamu maabusu sio pazuri Mh LISU alikaaa siku moja akatupa ushuhuda MAABUSU sio pazuri,LEMA umekaa siku Tatu tunakila sababu kukupa Pole.

Nawasilisha

Okay.... Ulimuhoji?
 
Back
Top Bottom