Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,506
- 7,472
Nina uhakika Mheshimiwa ambae hata yeye husema kwamba katiba mpya hakuinadi katika kampeni zake mpaka anamaliza uongozi wake 2025 hataleta katiba mpya kwa sababu hakuwahi kutoa ahadi ya katiba mpya
Wapinzani vipi? Mbona mmeniangusha!. Nakumbuka miaka ya nyuma kuna watu walitishia na kutishia kwamba hapatatosha kama JK hataleta katiba mpya
Wapinzani vipi? Mbona mmeniangusha!. Nakumbuka miaka ya nyuma kuna watu walitishia na kutishia kwamba hapatatosha kama JK hataleta katiba mpya