Madada poa wanavyoongezeka Ubungo Riverside

Duh harakati za kusakanya maokoto
 
Najiuliza mtu anafanya BJ Halafu jpili mdomo huohuo anautumia kumsifa Mungu [emoji23][emoji23]
Asee Mungu anakazi sana
 
Kuna mwana yeye hajawahi kuwa demu pembeni yeye Kila miji akifika anaenda kituo Cha boda anaita boda mmoja anamuulize waapi atapata mbususu boda atampeleka bila hiyana kabisa ....jamaa Kwa usiku anaweza akanunua hata4 akipiga huyu anamwambia ondoka aje mwingine wewe tumemaliza atamwambia niongee hata ten tu tukeshee[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna watu wamezoe asee
 
Serikali iwatengee maeneo rafiki...ili tusipoteze mapato...kodi....tukisema tudhibiti...tunajidanganya wenyewe
 
Kila mkoa ipo.
 
Achana nao waendelee kukosa kodi
 
Weka na picha tuone ukweli wa ulichoandika mkuu
 
Naam serikali inapuuzia kukusanya mapato ktk hii sekta..kwa visingizio vya kiduanzi...ilhali viongozi karibu wote ndio wateja wakubwa...hebu nani weka zile picha za Dom.
 
Ushauri wangu serikali inapoteza mapato Sana

Iwape MASHINE za EFD watembee nazo wawapo kazin

Nimepiga hesabu kwa miji Kama KAHAMA MWANZA DSM ARUSHA MOSHI MBEYA MORO IRINGA MBEYA serikali inapoteza kiasi kiasi Cha BILIONI 350 kwa mwaka unaweza kujenga hospital ya wilaya kila mwaka kupitia makahaba
 
Hapa atalaumiwa Beberu
 
hii biashara imeanza ata kabla Yesu hajazaliwa. kweli ni biashara sugu naya Muda mrefu.

na kuna wale ambao hawakai barabarani wako online, wake za watu , na kuna vidada mtaani ni hela yako tuu.

Ndo maana vijana wanakuwa wabishi kuoa.
Sio wabishi kuoa bali wanazidi kuwa masikini kwa kuhonga.
 
Waacheni wafanye biashara.
hawaendi makanisani au nyumba kwa nyumba kutangaza huduma yao.
Sioni haja ya kuwadhibiti maana wenyewe tayari wanajidhibiti.
Sana sana wawekewe mazingira rafiki kwa biashara yao.
Awawape Ajira Sasa. Watu wamesoma hakuna Ajira,watu wanapeana Ajira ,Kuna mtt wa waziri anafanya bodaboda eti Ni Ajira. Pia inapunguzia vijana kubaka,pia inasaidia watu kupunguza hamu zao fasta kuliko kumpenda mno mwanamke mmoja,pia ukiwa na ke nje utakuta gharama inakuwa nyingi na unajiamini upo alone kumbe mko wengi. Hawa walikuwepo tokea yule kahaba aliwaficha wajeda wa Israel darini akawaambia najua Mungu amewapa hii nchi Ni ya kwenu. Ingawa wa saivi hawajui Israel Ni ya israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…