Madada poa wanavyoongezeka Ubungo Riverside

Duuuh....aisee tuacheni masihara jamani...kama kweli huyu jamaa hizi statistics zake ni za ukweli, basi serikali inapoteza hela nyingi sana za kodi...Ebu ngoja twende sawa apa chini...namnukuu jamaaaa

1. IDADI YA CHANGUDOA = 200
2. IDADI YA WATEJA KWA KILA CHANGUDOA MMOJA = 10
3. GHARAMA YA CHINI KABISA KWA HUDUMA = 10,000

Haya sasa, apo nimechukulia kwa makadirio ya chini kabisa kwa kila kipengele
Ebu ngoja tu assume huyu changudoa kwa wiki moja anafanya kazi siku 6 tu halafu moja anapumzika

- Fedha anayoingiza changudoa mmoja, kwa siku moja, kwa huduma ya gharama ya chini kabisa ni
Changudoa mmoja * idadi ya wateja kwa siku * gharama ya huduma
1 * 10 * 10,000 = 100,000
KWA WIKI MOJA (siku 6 tu ,moja nimetoa ya yeye kupumzika)
1 * 10 * 10,000 * 6 = 600,000
OK, OK OKAAAY, KWA MWEZI MMOJA AMBAO UNA WIKI 4
1 * 10 * 10,000 * 6 *4 = 2,400,000
MPO APOOO, AYA SASA KWA MWAKA MMOJA WENYE MIEZI 12 ITAKUA NI KAMA APO CHINI
1 * 10 * 10,000 * 6 * 4 * 12 = 28,800,000 (MILIONI ISHIRINI NA LAKI NANE)

MABIBI NA MABWANA, AMINI USIAMINI HESABU HAZIDANGANYI
KAMA CHANGUDOA MMOJA TU ANAINGIZA 28,800,000, JEEE MACHANGUDO 200??

HEHEHEHEEHE, SIMPLE NI 28,800,000*200 = 5,760,000,0000 ( BILIONI 5 NA MILIONI MIA SABA NA SITINI TU)

EBU NGOJA TU ASSUME KODI YA SERIKALI KWA MWAKA NI 30%, KWAIYO SERIKALI INGEKUA KILA MWAKA INAINGIZA KIPATO CHA SHILINGI 5,760,000,000 * 30% = 1,728,000,000 ( BILIONI MOJA NA MILIONI MIA SABA ISHIRINI NA NANE)

NA APO,NI KITUO KIMOJA TU CHA RIVERSIDE!!!!!! VIPI UKIAMUA KUFANYA MAJUMUISHO YA VITUO VYOTE VYA MALAYA TANZANI??????!!!!!!!

AISEEEEEEE,HII BIASHARA NI SERIOUS MNOOOOO,KUNA MAPATO MAKUBWA SANAAAAA APA SERIKALI WANAYAKOSA BILA KUWEPO NA SABABU ZA MSINGI, EBU RASIMISHA HII KITU UONE KAMA HATUTAPANDA KWENYE UCHUMI WA KATI BAADA YA MIAKA MITANO TU!!!

TENA WATEJA TUTAENJOY ZAIDI MAANA UNAPATA RAHAAAAA, UKU UNAKUZA UCHUMI WA NCHI YAKO
 
Biashara kongwe duniani hiyo. Tuliza mshono
 
Nguvu kazi inaishia rive side🀣🀣
 
Unawasingizia wadada wa chuo bure. Wadada wa chuo hawawezi kujiuza mazingira ya karibu na chuo au hostel kwa sababu ni rahisi kuonekana.
Wadada wa chuo hawajiuzi hata uko mbali. Wapo wachache sana ambapo ni sawa na wake za watu wachache wanavyojiuza, kundi lolote la wanawake linaweza kuwa victim wa kujiuza.

Nililifanyia uchunguzi kwa siku nyingi hili suala muda fulani lilipotajwa humu JF. Hao wanasingiziwa kabisa ni watafiti uchwara wanataka wakuze mambo.
 
Evidence 🧾 mbn kama bado haijakaa vizur
 
Lipia Tangazo
 
Sio Ubungo tu ndugu, hata huku ni balaa!!
 
Evidence 🧾 mbn kama bado haijakaa vizur
Evidence gani unataka mkuu. Tuhuma za wanachuo kujiuza zipo sana humu JF.

Story za wanachuo kujiuza zililetwa na malaya wa mid 30s, waliokunywa bia za ofa na nyamachoma kwa wingi hivyo wana vitambi. Wamechoka kwa kujipodoa kila siku na kulala na wanaume tofauti makumi kwa makumi.
Hivyo miili imekongoroka wengine wagonjwa (hata sio wengi kivile wanaokuwa waathirika kama inavyofikiriwa). Hao wakaamua wajiite "wanachuo" kama brand name ili kukuza thamani yao.
Sababu raia mtaani huona wanachuo ni chuchu saa sita, hawana vitambi, umri mdogo na hawana mileage kubwa.

Na kuna wanaume wakuja wanaotapeliwa na wanaume wenzao mtandaoni hasa Telegram na Facebook kwenye "lipia 3000 tukuunge na group la wanachuo". Hawa nao hudhani wanachuo wanajiuza.

Nilikuwa chuo nikasoma JF mara kadhaa kwamba wanajiuza. Kuna ujanja fulani online nilikuwa nafanyia watu nalipwa na wateja wangu wakubwa ni wanaojiuza, forex na kubeti; sikuwahi ona mwanachuo uko. Nikamuona member mmoja JF jina simtaji anakuwaga uzi wa pisi kali amempost mdada mwarabu nasoma nae kozi moja, ilikuwa Tinder ile nikajiunga na kumpata kwa mbinde maana haikuwa premium. Aliyepost hakuwa yeye, alipost picha sio yake.
Nimepita mitaa yao kama Riverside, Sinza, Kitambaa Cheupe, pale Temeke bar gani. Uko kote sijawahi kutana na mwanachuo, kama unawajua wanachuo hata avae gunia unamtambua.
Nishalipwa service hata apartments, nishakutana na machotara wa kizungu suala ambalo hata sikuwaza ila kukuta wanachuo wanajiuza sijawahi.

Ni occasion moja niliwafuatilia wawili usiku weekend kutokea hostel natoka kusoma. Nikawasikia kwa bahati wanasema na namna walivyovaa, nikachunguza kwa wadau nikajua kweli wanajiuza. Mmoja huyo alikuwa kawaida kutovaa chupi darasani. Hiyo ni case ndogo, kama ambavyo nilipokuwa nafanya hiyo service nilikutana na mdada Sinza anaonekana ana kazi nzuri na alikuwa na apartment nzuri sana na kila kitu chake ndani sio za Airbnb ila bado anajiuza.

Mambo ya wanachuo ni kujirahisisha, wanachanganya wanaume, wanachuna. Ila hawajiuzi kama nyanya au kumiliki social media account ya umalaya.
 
Kila mwanamke anataka mume tajiri mwenye mahela. πŸ˜€ Matokeo yake kizungumkuti tu maana kila mmoja anataka yeye ndio awe mke wa ndoa wa tajiri huyo
 
We jamaa bwana,wanachuo wanauza papa kabla smart phone hazijaja,wataacha kujiuza Sasa hivi wanahitaji bando na wigi nk!?..Tena watoto wa mabibo na ifm ndiyo walikua wanaongoza,Sasa hivi ni vyuo vyote,umeingia chuo lini!?
 
Mange kimambi acha kutuponza

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Hii biashara kama ni haramu ipigwe stop kama imepewa ruhusa walipe Kodi ,wapewe vitambulisho na watoe Risiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…