Madada poa wanavyoongezeka Ubungo Riverside

Mmmmmmhmn haya mambo ni mazito sana aisee. Sasa impact yake miaka 10 hadi 20 ijayo. Hizi biashara haramu zinavyomea ina maana hawa wakianza kuzeeka watataka kirecruit damu changa ambayo ni mabinti wachanga so tutaanza mambo ya pimping and Whorehouses hapa Tanzania.

Tunamruhusu shetani atutafunie kizazi chetu.

Haya yote ni matokeo ya kuwatoa wanawake nyumbani ona sasa, mabinti wanakuwa watu wazima ndoa hawaziwezi mahitaji yanawazidi wanashindwa kupata matunzo wanageukia biashara za ngono.

Kimsingi mwanamke hajaumbiwa kutangatanga, ni heri mwanaume aoe wanawake 20 wawe kwenye himaya yake watakuwa salama ila si kama hivi sasa kila mwanamke anataka awe na mume wake pekee na mbaya zaidi wanachagua wenye pesa nyingi yaani mwenye kuingizia mamilioni kila wiki. Tutafika kweli?
 
Siku nyingine tunaomba tuletee habari ya mashoga wanaojiuza maana nao wapo kwa kasi ya 4g.
 
hii biashara imeanza ata kabla Yesu hajazaliwa. kweli ni biashara sugu naya Muda mrefu.

na kuna wale ambao hawakai barabarani wako online, wake za watu , na kuna vidada mtaani ni hela yako tuu.

Ndo maana vijana wanakuwa wabishi kuoa.
Kwa upande mwingine huwa tunasema hivi tukiwa na dhamira ya kupenda iendelee ila jiulize jambo moja kuna makahaba wangapi, na je hawa wanafanya hii kitu kwasababu ilikuwapo tangia enzi za Yesu au kwasababu kuna shida katika jamii yetu inayopelekea wanawake kuendesha maisha nje ya mfumo wa mahusiano rasmi ya ndoa?

Me nadhani kama jamii kuna sehemu tunazingua ndio maana tunapata hii breed ya wanawake ambao wanaona ni rahisi kuishi kwa kutangatanga na kutumika kingono kuliko kutulia katika kaya yake na kuwa chini ya mwanaume wake ambaye watashirikiana kufanya maisha ya heshima na kuwa na ustaarabu.
 
Ukiona hivyo ujue mambo magumu, muajiriwa tu amecheleweshea mshahara anakaribia kufa, je asiyekuwa na ajira atakuwaje sasa?

Tuwaache tu wapambane na hali zao, kwa sababu wakituomba hela za mitaji hatutawapatia.​
 
Magonjwa yote unayapata kasoro Ukimwi tu ambao ni less likely. Epuka sana mate ya malaya utapata gono, herpes n.k

No safety in bro job, kifupi kahaba ni hatari kila kona
 
Magonjwa yote unayapata kasoro Ukimwi tu ambao ni less likely. Epuka sana mate ya malaya utapata gono, herpes n.k

No safety in bro job, kifupi kahaba ni hatari kila kona
Sasa kama huogopi ukimwi utaogopa nn kingne. Hilo dubwana liskie tu kwa watu lakini linatisha sana, hayo mengne tunaishi nayo. Pia kwa mdomoni mwanamke atawahi kuona dalili na hvyo kuwahi treatment tofauti na kwenye mbususu utakuta mdada anakata miezi na hajui kama anausambaza mpk wateja wake wamtonye. Personally kwa malaya kama kweli huduma hii ipo na-prefer zaidi hii BJ.
 
Kwahiyo kwa tathmini hiyo ni kusema kwamba kama kituo kimoja cha mauzo kinabeba pisi 200 + Tuchukulie Dar nzima kuna vituo 30 vya dada poa ni kumaanisha wanaouza rasmi ni 3000+, Bado hawa wanaouza mitandaoni, Bado hawa wanaouza kwa maficho (wadangaji) n.k ni kumaanisha Dar imejaa wauzaji. So, Sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…